Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Unataka nitoe rejea kwa waandishi wa mrengo wako haiwezekani!!Mfano hata wewe umeandika vitabu ila maarifa yako yana walakini kuhusu mambo mengi kiimani,kisiasa na kiuchumi!!!Vitabu ni mawazo ya muhusika na mapendeko yake bali mimi nazungumzia ukweli!!!Kuhusu uhandishi ndio maana kuna wahariri!!Usitoke nje ya mada
 
Sasa mzee wangu wewe ni mfuasi wa hizbu na chochote utakachoandika kuhusu Hanga ni kwa nia ya kuipaka matope ASP na SMZ!!!!Watu kusoma sio shida!!!Bali shida ni mrengo wa mwandishi na nia yake!!
Nilikuuliza hivi Hizbu iliundwa na Nani ? ASP lilikuwa Chama cha waafrika tu ,bila makabila mengine , unakimbia
 
Wewe ni mwanachama wa hizbu hakuna haja
 
Mkali...
Wazanzibari wanajulikana kwa mila, lafidh na utamaduni wao halikadhalika Watanganyika.

Isipokuwa wachache kutoka Pwani.
Upo sahihi, lkn sababu ya muungano hauoni ni nzito....ni kama ndoa Maana Tanganyika na Zanzibar ni kama mume na mke, je mume hapaswi kumfaham zaidi mke wake?

Tafadhali sheikh Said, heb tuelezee kwanini wazanzibari hawakudai uhuru kutoka utawala wa Sultan
 
Unakataa mzee wangu bali ulikua mwanafunzi usiyekua na nidhamu UDSM
 
Hiyo picha inanipa jibu kwanini unapinga mapinduzi matukufu
 
Mzee wangu Said Mohammed hawezi kujibu hili swali!!!Hizbu walikua vibaraka wa masultani since chama hicho kimeanzishwa!!
 
Nitakufunza mzee wangu ila sasa uwe tayari kufundishika
Nelson...

Utanifariji sana kuwa leo na mimi nakaa kusomeshwa kwani nimezoea kusomesha wengine.

Nasubiri darasa lako kwa hamu.

Naamini kipo nitakachojifunza kutoka kwako:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006.
  3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  5. Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  6. Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
  7. Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.
  8. Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.
  9. Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.
  10. Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
  11. The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam.
  12. Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam.
  13. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  14. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  15. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi).
  16. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  17. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  18. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili. Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  19. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  20. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  21. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  22. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  23. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  24. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  25. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  26. Awards: Several Awards
  27. Visiting Scholar: (2011).
  28. University of Iowa, Iowa City, USA.
  29. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA.
  30. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
  31. OTHER COUNTRIES VISITED
  32. Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
Nelson...
''uhandishi''
 
Mnachonga ngenga tu mmewahi kuona Video za vita vya mapinduzi hayo ya ZANZIBAR miaka ile nyie?!... wana sababu zao ndo mana hawataki, usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Tuweke udini na urangi pembeni...,haki na maslahi kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…