Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Mimi nitakuuliza kwa nini watu walidai uhuru kutoka kwa muingereza na hawakudai uhuru kutoka kwa Sultani?Mzee wangu hili swali ni kubwa sana ila unalijibu kihuni
Nisamehe kutumia neno hilo
Ila ni ukweli
Niambie ni tafiti gani na kafanya nani usiishie kusema ni tafiti tu
Ni wazimu usiosameheka kutetea tawala dhalimu ya kisultan kwa kujificha kwenye kichaka chenye nyasi kavu cha dini ati kulikuwa na usawa baina ya weusi, wa brown (waarabu na wahindi) na wazungu
Ninauliza kwa mara ya mwisho
Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?
Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?
Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?
Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi?
Hawa washenzi waliokimbia mitafaruku huko kwao na kuloweza katika visiwa vyetu waki take advantage ya uduni wa wenyeji na kujisimika kama watawala
Halali wakawadhalilisha wenyeji wanawezaje kuonewa huruma?