Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Mzee wangu hili swali ni kubwa sana ila unalijibu kihuni

Nisamehe kutumia neno hilo
Ila ni ukweli

Niambie ni tafiti gani na kafanya nani usiishie kusema ni tafiti tu

Ni wazimu usiosameheka kutetea tawala dhalimu ya kisultan kwa kujificha kwenye kichaka chenye nyasi kavu cha dini ati kulikuwa na usawa baina ya weusi, wa brown (waarabu na wahindi) na wazungu

Ninauliza kwa mara ya mwisho

Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?

Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?

Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?

Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi?

Hawa washenzi waliokimbia mitafaruku huko kwao na kuloweza katika visiwa vyetu waki take advantage ya uduni wa wenyeji na kujisimika kama watawala
Halali wakawadhalilisha wenyeji wanawezaje kuonewa huruma?
Mimi nitakuuliza kwa nini watu walidai uhuru kutoka kwa muingereza na hawakudai uhuru kutoka kwa Sultani?
 
Count...
Hapana haja ya kutukana.
Tufanye mjadala wa adabu na heshima.

Hapa Tanzania Bara iliyosaidia mapinduzi ya Zanzibar kuna fursa sawa kati ya wananchi wake wote?

Ni nani wanaohodhi nafasi za elimu kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu?

Ni nani walioshika serikali na bunge na nafasi za kazi huko kote?

Ni nani waliodhalilishwa toka uhuru upatikane mwaka wa 1961?

Unaijua jamii iliyoshika madaraka kwa 80%.

Unaijua jamii iliyodhalilishwa?

Unalijua tatizo hili hapa Tanganyika?

Vipi uyaone ya Zanzibar chini ya Sultan ushindwe kuliona hili lililopo nchini kwako?

Ikiwa Zanzibar imenufaika na mapinduzi iweje serikali ya CCM Zanzibar inashindwa kila uchaguzi?

Wazanzibari hawataki kunufaika na mapinduzi?

Unalo jibu la swali hili?
 
Okello kutoka uganda anakuja kufanya mapinduzi zanzibar ??? Kuna vitu vingi sana tumefichwa kuhusu haya mapinduzi na muungano wa haraka haraka
 
Mimi nitakuuliza kwa nini watu walidai uhuru kutoka kwa muingereza na hawakudai uhuru kutoka kwa Sultani?
Gavana,
Unawauliza swali hilo hawa ambao kwanza si Wazanzibari na pili hawaijui historia ya Zanzibar.
 
Count...
Hapana haja ya kutukana.
Tufanye mjadala wa adabu na heshima.

Hapa Tanzania Bara iliyosaidia mapinduzi ya Zanzibar kuna fursa sawa kati ya wananchi wake wote?

Ni nani wanaohodhi nafasi za elimu kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu?

Ni nani walioshika serikali na bunge na nafasi za kazi huko kote?

Ni nani waliodhalilishwa toka uhuru upatikane mwaka wa 1961?

Unaijua jamii iliyoshika madaraka kwa 80%.

Unaijua jamii iliyodhalilishwa?

Unalijua tatizo hili hapa Tanganyika?

Vipi uyaone ya Zanzibar chini ya Sultan ushindwe kuliona hili lililopo nchini kwako?

Ikiwa Zanzibar imenufaika na mapinduzi iweje serikali ya CCM Zanzibar inashindwa kila uchaguzi?

Wazanzibari hawataki kunufaika na mapinduzi?

Unalo jibu la swali hili?
Situkani mkuu ila nimesema majibu yako yalikuwa ni ya kihuni, kimsingi nimeikosoa hoja yako na si wewe binafsi mkuu

Hujajibu swali tena badala yake unauliza maswali

Hujaeleza kuhusu huo utafiti hujajibu swali la msingi hii inaashiria nini?

Anza kunijibu maswali yangu then nitajibu yako mkuu wangu
Kama huna majibu sema pia sio dhambi

SWALI:
Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?

Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?

Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?

Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi
 
Gavana,
Unawauliza swali hilo hawa ambao kwanza si Wazanzibari na pili hawaijui historia ya Zanzibar.
Mkuu wewe unaijua historia kwanini hujibu swali la msingi?

Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?

Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?

Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?

Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi
 
Tafadhali heb tufafanulie hilo swali, sie wote ni sehem ya muungano na teyar tushachanganyikana sana, Bara na visiwani
Mkali...
Wazanzibari wanajulikana kwa mila, lafidh na utamaduni wao halikadhalika Watanganyika.

Isipokuwa wachache kutoka Pwani.
 
Mkuu wewe unaijua historia kwanini hujibu swali la msingi?

Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?

Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?

Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?

Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi
Capone...
Nimekujibu labda ukiwa hukulipenda jibu langu.

Nakujibu tena.
Usawa huo unaouliza Zanzibar wakati wa Sultani upo hapa Tanganyika hivi sasa?

Je upo pia Zanzibar hii ya serikali ya mapinduzi?
 
Situkani mkuu ila nimesema majibu yako yalikuwa ni ya kihuni, kimsingi nimeikosoa hoja yako na si wewe binafsi mkuu

Hujajibu swali tena badala yake unauliza maswali

Hujaeleza kuhusu huo utafiti hujajibu swali la msingi hii inaashiria nini?

Anza kunijibu maswali yangu then nitajibu yako mkuu wangu
Kama huna majibu sema pia sio dhambi

SWALI:
Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?

Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?

Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?

Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi
Capone...
Niwie radhi sikukujibu utafiti wa haki mahakamani.

Huu utafiti ulifanyika kimya kimya pembeni ya utafiti mwingine na kwa sababu za wazi haukuwekwa bayana.
 
Situkani mkuu ila nimesema majibu yako yalikuwa ni ya kihuni, kimsingi nimeikosoa hoja yako na si wewe binafsi mkuu

Hujajibu swali tena badala yake unauliza maswali

Hujaeleza kuhusu huo utafiti hujajibu swali la msingi hii inaashiria nini?

Anza kunijibu maswali yangu then nitajibu yako mkuu wangu
Kama huna majibu sema pia sio dhambi

SWALI:
Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?

Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?

Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?

Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi
Mkuu wewe unaijua historia kwanini hujibu swali la msingi?

Hakukuwa na ubaguzi wa rangi na uonevu systematically kwa wenyeji wa visiwa vile?

Kulikua na umiliki sawa wa ardhi kati ya wenyeji na wageni?

Kulikua na umiliki sawa wa watumwa kati ya wenyeji na wavamizi?

Kulikuwa na mgawanyo sawa wa nyenzo za uzalishaji mali kati ya wenyeji na wavamizi
Capone...
Nimekujibu.
Mimi sibishani na mtu yeyote hapa.

Mimi hapa naeleza naeleza ninayoyajua.

Nadhani kwa muda uliokuwa unasoma ninayoandika naamini umepata mengi ambayo hukupata kuyajua.

Ikiwa huamini niandikayo sawa tuendelee na mengine watu wanufaike na darsa hili.
 
Today,
Swali hili ingependeza lijibiiwe na ASP kwa sababu Hanga alikuwa kiongozi wao na dunia inamtambua kuwa ndiye aliyepanga mipango yote akishirikiana na Oscar Kambona.
Dunia hatumbui hivyo(Labda dunia upande wa hizbu na washirika wao) na wala Hanga hakua kiongozi katika nyanja zote!!!Na mambo yake na mitazamo yake ilikua inajulikana ndani ya ASP
 
Sababu Uingereza ndiye alikuwa overlord ni kama Misri na Sudan mkuu
Hebu niulize maswali magumu achana na haya mepesi mepesi
Sijakufahamu overload vipi ? Yaani Wazanzibari hawakudai uhuru kutoka kwa Sultani wakadai uhuru kutoka Uingereza kwa sababu ya Uingereza kuwa ni overload wa Misri na Sudan ?
Hivi uko serious?
 
Nelson,
Tufahamishe mitazamo ya Hanga tungependa kuelimika.

NB: Nimeandika makala ya Hanga na ilisomwa na watu 10,000 katika blog yangu: mohamedsaidsalum.blogspot.com

Ingia hapo fanya search.
Sasa mzee wangu wewe ni mfuasi wa hizbu na chochote utakachoandika kuhusu Hanga ni kwa nia ya kuipaka matope ASP na SMZ!!!!Watu kusoma sio shida!!!Bali shida ni mrengo wa mwandishi na nia yake!!
 
Back
Top Bottom