Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Daah ni hatari sanaHata mimi kaniambia siwezi kumuhoji kuhusu zanzbar sababu yeye kazaliwa kkoo na ana ubini wa kindugu na kiimani na wafuasi wa hizbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ni hatari sanaHata mimi kaniambia siwezi kumuhoji kuhusu zanzbar sababu yeye kazaliwa kkoo na ana ubini wa kindugu na kiimani na wafuasi wa hizbu
Mkuu mimi ni muislamu na silazimiki kujieleza kwanini nimeamua niseme na silazimiki kukuaminisha kivyovyote
Uislam wangu si kwaajili yako wewe Sol de Mayo , Uislamu wangu ni kwaajili ya Mungu yeye ndiye mwenye kujua kweli ya nafsi zetu mkuu ni yeye atakaenilipa kwa mema yangu atakaesamehe mabaya yangu na kama ataamua ataniadhibu
Wewe Sol de Mayo
Hunifai chochote mimi wala mimi sikufai kitu hivyo sijielezi walq kukuaminisha chochote kile
Ninasapoti Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yaliyong’oa tawala dhalimu ya sultan mkuu
Je watu wasio na hatia waliuawawa?
Of course waliuwawa
Ninahisi huzuni juu yao!?
Absolutely,
Sultan aliwaonea wtu wasio na hatia?
Absolutely aliwaonea
Karume na wenzie walifanya kitu sahihi mbali na mauaji ya wasio na hatia?
Absolutely walifanya jambo sahihi sana mbali na vifo vya wasio na hatia
Kuna kiongozi yoyote kafanya ya maana bila kuua watu?
No, hayupo hata mmoja
Unajua haya mambo kama hujui uongozi na hujui uhalisia wa ulimwengu utamchukia kila kiongozi
Allah atuongoze sote mkuu
Nelson...Upo sahii mzee wangu Said mohamed hapendi kuhojiwa kabisa ila anapenda kuzungimza tu upande wa mitazamo yake ya kisiasa na kiimani
Nelson...Hata mimi kaniambia siwezi kumuhoji kuhusu zanzbar sababu yeye kazaliwa kkoo na ana ubini wa kindugu na kiimani na wafuasi wa hizbu
Basi sawa kama wewe ni muislamu wa kweli
Bhujiku ng'waka!
Nelson...Sasa nitahuamini vipi waraka huu wakati umeanza salamu tu kwa mrengo flani wa kiafidhina upande wa itikadi za kisiasa na kiimani!!!Napata shida kidogo kuamini huu ni waraka wa mawazo na maoni huru yasiyo ns chembechembe za kiitikadi za kisiasa na kiimani?????
Nelson...Hata mimi kaniambia siwezi kumuhoji kuhusu zanzbar sababu yeye kazaliwa kkoo na ana ubini wa kindugu na kiimani na wafuasi wa hizbu
Nelson...Hata mimi kaniambia siwezi kumuhoji kuhusu zanzbar sababu yeye kazaliwa kkoo na ana ubini wa kindugu na kiimani na wafuasi wa hizbu
Mapinduzi yenyewe yana utukufu gani wakati yalimdhulumu wazi wazi mwanzilishi wake Marshall John Gideon Okello. Yaite mapinduzi dhulumishi na katili yaliyouwa waraabu uchwara kibao japo nao waliwatesa waswahili.Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!
Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
Huu ni waraka sio utafiti.Nelson...
Waraka huo hapo chini:
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...www.jamiiforums.com
Randy...Huu ni waraka sio utafiti.
Hata mimi kesho naweza nikajiandikia waraka wangu na huwezi ukauita tafiti.
Nilitegemea labda kuna utafiti umefanywa, na tuone kabisa huo utafiti kama ulizingatia kuuliza wahusika imani zao ama umeangalia tu majina na kuassume fulani ni mkristo au muislamu.
Kimsingi huu waraka hauna miguu ya kusimama kuitwa utafiti zaidi ya maandishi tu ya watu wa imani fulani.
Nelson...
Hakika nimesema huyu ndiye wa kunihoji mimi?
Anihoji mimi kwa sifa gani alizonazo katika historia ya Tanzania?:
Mahojiano na Mohamed Ghassani.
Mahojiano niliyofanya na Sauti ya Ujerumani (DW) na mengine na Mohamed Ghassani na blog yake sina hesabu ni mengi sana.
View attachment 2510915
Hawa ni BBC, Glasgow ndiyo naanza unaona hapo bado kijana.
View attachment 2510920
Hawa ni Voice of America (VoA) Washington DC wananihoji wamenihoji mara nyingi wala sijui hesabu yake.
View attachment 2510926
Hawa ni Radio Iran Tehran hawa nimefanyanao mahojiano mengi sana mwaka wa 1995 wakati wa Uchaguzi Mkuu na vipindi vyangu vlinyanyua kituo chao kiasi kuonyesha shukurani zao kwangu walinialika Tehran.
Hizi ni TV na Radio Stations maarufu ulimwenguni ambazo mimi zimepata kunihoji.
Picha ziko nyingi hii hapo chini nakuwekea BBC Dira ya Dunia na Salim Kikeke kwani napenda sana hiyo picha ya Mandela na mimi.
![]()
Baada ya BBC wakaja South African Broadcasting Corporation (SABC) wakaja nyumbani kwangu tukafanya mahojiano.
Baada ya haya yote na uzoefu wangu ndipo niliposikia kuwa Nelson na mfano wa Nelson wanataka wanihoji nikasema kweli aliye juu mngoje chini.
Jina langu lipo BBC toka 1991 wananitambua kama mtaalamu wa Historia ya Tanzania.
Leo nimeshuka kiasi nahojiwa na huyu?
Ati nimeshindwa kujibu maswali yao kuhusu utumwa Zanzibar.
Nawaeleza kuwa Wazanzibari agenda yao leo si utumwa.
Wazanzibari agenda yao ni kudumisha amani kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki.
Uchaguzi ambao Wazanzibari hawatapoteza maisha ya kwa ajili ya kuchagua serikali waitakayo.
Mimi namwambia kila siku mzee wangu unatoa waraka sio tafiti.Anakataa kuheshimu maneno yangu na kuniita mdogo wake nisiye na adabu nimezoea utukutu na namzushia vitu.Mzee wangu Said namjua mimi mbishi sana toka alipokua UDSM na aliwasumbua sana walimu wake ila nashukuru siku hizi anaanza kunielewa hata mambo madogo madogo anachukua ushauri kwangu.Huu ni waraka sio utafiti.
Hata mimi kesho naweza nikajiandikia waraka wangu na huwezi ukauita tafiti.
Nilitegemea labda kuna utafiti umefanywa, na tuone kabisa huo utafiti kama ulizingatia kuuliza wahusika imani zao ama umeangalia tu majina na kuassume fulani ni mkristo au muislamu.
Kimsingi huu waraka hauna miguu ya kusimama kuitwa utafiti zaidi ya maandishi tu ya watu wa imani fulani.
Karibu CCM ujifunze utukufu wa mapinduzi matukufu ya zanzbar 1964Mapinduzi yenyewe yana utukufu gani wakati yalimdhulumu wazi wazi mwanzilishi wake Marshall John Gideon Okello. Yaite mapinduzi dhulumishi na katili yaliyouwa waraabu uchwara kibao japo nao waliwatesa waswahili.
Nelson...
Kweli wewe unajiona unaijua historia ya TANU na ASP kiasi ati uniletee wazee wa TANU unifundishe historia ya chama kilichoundwa na wazee wangu?
Wafuatiliaji wa mjadala huu nawawekea clip fupi wastarehe:
Nelson...
Hakika nimesema huyu ndiye wa kunihoji mimi?
Anihoji mimi kwa sifa gani alizonazo katika historia ya Tanzania?:
Mahojiano na Mohamed Ghassani.
Mahojiano niliyofanya na Sauti ya Ujerumani (DW) na mengine na Mohamed Ghassani na blog yake sina hesabu ni mengi sana.
View attachment 2510915
Hawa ni BBC, Glasgow ndiyo naanza unaona hapo bado kijana.
View attachment 2510920
Hawa ni Voice of America (VoA) Washington DC wananihoji wamenihoji mara nyingi wala sijui hesabu yake.
View attachment 2510926
Hawa ni Radio Iran Tehran hawa nimefanyanao mahojiano mengi sana mwaka wa 1995 wakati wa Uchaguzi Mkuu na vipindi vyangu vlinyanyua kituo chao kiasi kuonyesha shukurani zao kwangu walinialika Tehran.
Hizi ni TV na Radio Stations maarufu ulimwenguni ambazo mimi zimepata kunihoji.
Picha ziko nyingi hii hapo chini nakuwekea BBC Dira ya Dunia na Salim Kikeke kwani napenda sana hiyo picha ya Mandela na mimi.
![]()
Baada ya BBC wakaja South African Broadcasting Corporation (SABC) wakaja nyumbani kwangu tukafanya mahojiano.
Baada ya haya yote na uzoefu wangu ndipo niliposikia kuwa Nelson na mfano wa Nelson wanataka wanihoji nikasema kweli aliye juu mngoje chini.
Jina langu lipo BBC toka 1991 wananitambua kama mtaalamu wa Historia ya Tanzania.
Leo nimeshuka kiasi nahojiwa na huyu?
Ati nimeshindwa kujibu maswali yao kuhusu utumwa Zanzibar.
Nawaeleza kuwa Wazanzibari agenda yao leo si utumwa.
Wazanzibari agenda yao ni kudumisha amani kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki.
Uchaguzi ambao Wazanzibari hawatapoteza maisha ya kwa ajili ya kuchagua serikali waitakayo.
Hapo sasa ndio umeongea point kwa mara ya kwanza siku ya leo mzee wanguNelson...
Si lazima uamini.
''nitahuamini''
Nelson...Nitakupa darasa refu kuweza kuutambua ubantu wako na kuacha kukumbatia mila na tamaduni za watu wa magharibi ma mashariki ili ujitambue wewe kama mwafrika.Cha kwanza niruhusu kwa heshima iliyotukuka nikupatie jina la kibantu mzee wangu uachane na majina ya lugha za wageni.Ili sasa uanze kufikiri kama mbantu ambae una asili ya hili bara sio kujinasibisha na wageni
Nelson...Hapo sasa ndio umeongea point kwa mara ya kwanza siku ya leo mzee wangu
Nelson...Kua mtulivu na kua na subira tupate kukujuza usiyoyajua.Sawa mzee wangu Saidi mohamedi
Ukiwachunguza kwa kina utawaona ni watu ambao hawajasoma, kichwani wamekariri Qur'an tu, hawajuwi chochote kuhusu historia ya kisiwa chao. Watu dizaini hii ni wabaya kuishi nao, ni wanafiki mno.Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!
Wana ajenda gani nyuma ya pazia?