Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?


Basi sawa kama wewe ni muislamu wa kweli


Bhujiku ng'waka!
 
Basi sawa kama wewe ni muislamu wa kweli


Bhujiku ng'waka!
Nelson...
Si lazima uamini.
''nitahuamini''
 
Hata mimi kaniambia siwezi kumuhoji kuhusu zanzbar sababu yeye kazaliwa kkoo na ana ubini wa kindugu na kiimani na wafuasi wa hizbu
Nelson...
Hakika nimesema huyu ndiye wa kunihoji mimi?

Anihoji mimi kwa sifa gani alizonazo katika historia ya Tanzania?:


Mahojiano na Mohamed Ghassani.

Mahojiano niliyofanya na Sauti ya Ujerumani (DW) na mengine na Mohamed Ghassani na blog yake sina hesabu ni mengi sana.


Hawa ni BBC, Glasgow ndiyo naanza unaona hapo bado kijana.


Hawa ni Voice of America (VoA) Washington DC wananihoji wamenihoji mara nyingi wala sijui hesabu yake.


Hawa ni Radio Iran Tehran hawa nimefanyanao mahojiano mengi sana mwaka wa 1995 wakati wa Uchaguzi Mkuu na vipindi vyangu vlinyanyua kituo chao kiasi kuonyesha shukurani zao kwangu walinialika Tehran.

Hizi ni TV na Radio Stations maarufu ulimwenguni ambazo mimi zimepata kunihoji.

Picha ziko nyingi hii hapo chini nakuwekea BBC Dira ya Dunia na Salim Kikeke kwani napenda sana hiyo picha ya Mandela na mimi.



Baada ya BBC wakaja South African Broadcasting Corporation (SABC) wakaja nyumbani kwangu tukafanya mahojiano.

Baada ya haya yote na uzoefu wangu ndipo niliposikia kuwa Nelson na mfano wa Nelson wanataka wanihoji nikasema kweli aliye juu mngoje chini.

Jina langu lipo BBC toka 1991 wananitambua kama mtaalamu wa Historia ya Tanzania.

Leo nimeshuka kiasi nahojiwa na huyu?

Ati nimeshindwa kujibu maswali yao kuhusu utumwa Zanzibar.

Nawaeleza kuwa Wazanzibari agenda yao leo si utumwa.

Wazanzibari agenda yao ni kudumisha amani kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki.

Uchaguzi ambao Wazanzibari hawatapoteza maisha ya kwa ajili ya kuchagua serikali waitakayo.
 
Hata mimi kaniambia siwezi kumuhoji kuhusu zanzbar sababu yeye kazaliwa kkoo na ana ubini wa kindugu na kiimani na wafuasi wa hizbu
Nelson...
Kweli wewe unajiona unaijua historia ya TANU na ASP kiasi ati uniletee wazee wa TANU unifundishe historia ya chama kilichoundwa na wazee wangu?

Wafuatiliaji wa mjadala huu nawawekea clip fupi wastarehe:

 
Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!

Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
Mapinduzi yenyewe yana utukufu gani wakati yalimdhulumu wazi wazi mwanzilishi wake Marshall John Gideon Okello. Yaite mapinduzi dhulumishi na katili yaliyouwa waraabu uchwara kibao japo nao waliwatesa waswahili.
 
Huu ni waraka sio utafiti.

Hata mimi kesho naweza nikajiandikia waraka wangu na huwezi ukauita tafiti.

Nilitegemea labda kuna utafiti umefanywa, na tuone kabisa huo utafiti kama ulizingatia kuuliza wahusika imani zao ama umeangalia tu majina na kuassume fulani ni mkristo au muislamu.

Kimsingi huu waraka hauna miguu ya kusimama kuitwa utafiti zaidi ya maandishi tu ya watu wa imani fulani.
 
Randy...
Uchukulie unavyopenda hakuna tatizo.

Waliokusudiwa wameusoma na wamesikia.
 
Nitakupa darasa refu kuweza kuutambua ubantu wako na kuacha kukumbatia mila na tamaduni za watu wa magharibi na mashariki ili ujitambue wewe kama mwafrika.Cha kwanza niruhusu kwa heshima iliyotukuka nikupatie jina la kibantu mzee wangu uachane na majina ya lugha za wageni.Ili sasa uanze kufikiri kama mbantu ambae una asili ya hili bara sio kujinasibisha na wageni
 
Mimi namwambia kila siku mzee wangu unatoa waraka sio tafiti.Anakataa kuheshimu maneno yangu na kuniita mdogo wake nisiye na adabu nimezoea utukutu na namzushia vitu.Mzee wangu Said namjua mimi mbishi sana toka alipokua UDSM na aliwasumbua sana walimu wake ila nashukuru siku hizi anaanza kunielewa hata mambo madogo madogo anachukua ushauri kwangu.
 
Mapinduzi yenyewe yana utukufu gani wakati yalimdhulumu wazi wazi mwanzilishi wake Marshall John Gideon Okello. Yaite mapinduzi dhulumishi na katili yaliyouwa waraabu uchwara kibao japo nao waliwatesa waswahili.
Karibu CCM ujifunze utukufu wa mapinduzi matukufu ya zanzbar 1964
 
Nelson...
Kweli wewe unajiona unaijua historia ya TANU na ASP kiasi ati uniletee wazee wa TANU unifundishe historia ya chama kilichoundwa na wazee wangu?

Wafuatiliaji wa mjadala huu nawawekea clip fupi wastarehe:

Nikiandaa darasa letu utakutana nao magwiji wa historia ya siasa za afrika mashariki wakujuze unayoyakwepa kuyasikia na usiyoyajua!!!Kua na subira
 
Kua mtulivu na kua na subira tupate kukujuza usiyoyajua.Sawa mzee wangu Saidi mohamedi
 
Nelson...
Nakushauri ufungue uzi mpya.

Nipe fikra zako kwa vitu nilivyokuwekea hapo juu.

Tukimaliza mjadala huu ndiyo tuje na suala la majina.
 
Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!

Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
Ukiwachunguza kwa kina utawaona ni watu ambao hawajasoma, kichwani wamekariri Qur'an tu, hawajuwi chochote kuhusu historia ya kisiwa chao. Watu dizaini hii ni wabaya kuishi nao, ni wanafiki mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…