Kwanini useme "mimi ni muislamu"!!! Kwanini usitoe hoja bila kujiita hivyo!! Na nitaamini vipi kama wewe ni ndugu yangu katika imani? Kuwa serious! Na inavyoonekana unasapoti huo upumbavu na ukatili uliofanywa na ndugu zako. Allah akuongoze mkuu
Mkuu mimi ni muislamu na silazimiki kujieleza kwanini nimeamua niseme na silazimiki kukuaminisha kivyovyote
Uislam wangu si kwaajili yako wewe
Sol de Mayo , Uislamu wangu ni kwaajili ya Mungu yeye ndiye mwenye kujua kweli ya nafsi zetu mkuu ni yeye atakaenilipa kwa mema yangu atakaesamehe mabaya yangu na kama ataamua ataniadhibu
Wewe
Sol de Mayo
Hunifai chochote mimi wala mimi sikufai kitu hivyo sijielezi walq kukuaminisha chochote kile
Ninasapoti Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yaliyong’oa tawala dhalimu ya sultan mkuu
Je watu wasio na hatia waliuawawa?
Of course waliuwawa
Ninahisi huzuni juu yao!?
Absolutely,
Sultan aliwaonea wtu wasio na hatia?
Absolutely aliwaonea
Karume na wenzie walifanya kitu sahihi mbali na mauaji ya wasio na hatia?
Absolutely walifanya jambo sahihi sana mbali na vifo vya wasio na hatia
Kuna kiongozi yoyote kafanya ya maana bila kuua watu?
No, hayupo hata mmoja
Unajua haya mambo kama hujui uongozi na hujui uhalisia wa ulimwengu utamchukia kila kiongozi
Allah atuongoze sote mkuu