Nasikia kuna mfanyabiashara amekamTwa kwa kusema serekali hii inakopa ovyo.Wewe Nyani ndiyo mwongo kwa kuwa una uwezo wa kula mahindi mabichi na kunya.
Waliompinga Magufuli hadharani walikipata cha moto. Kuna waliouliwa kama Ben Sanane, Azory na wale wa kwenye viroba baharini.
Kuna waliopigwa risasi na kujeruhiwa kama Tundu Lissu. Kuna waliohojiwa uraia kama Askofu Niiwemugizi na kuna walifunguliwa mashataka ya kutakatisha fedha kama Tito Magoti na Eric Kabedera.
Sisi wa humu JF tulimkosoa kwa fake ID kwa hisani ya Maxence Melo na tunajuwa ilimcost sana huyu protector wetu. Waliomkosoa Facebook walikuwa wanasakwa na kuuawa au kushtakiwa kwa sheria mbaya.
Nasikia kuna spika aliwekewa mtuu baada kusema serikali inakopa ovyo.
Nasikia kuna mchora katuni Rotters anashikiliwa kusikojulikana toka mwaka jana baada ya kutuni yake ya mama anaharibu nchi
Kuna msanii kule Geita amehukumiwa miaka 6 gerezan kwa kuikosoa serikali ya awamu ya 6.
Nasikia polepole aliondolewa bungeni na kuondolewa nchini baada ya ukosoaji wake mkali juu ya suala la machinga. Pia nasika machinga wamerudi sehemu zao.
Mbatia baada ya kukosoa sakata la Kumuondoa ndugai Bungeni chama chake kikapokwa na serikali ya awamu 6
Nasikia Jaji mkuu kaongezewa mda na wamu ya 6 kinyume cha katiba.
Vip walioandamana kupinga bandar?
Kuna ripoti ya mto Mara , watu waliathirika sana pamoja na mifugo ya vp RESPONSE ya awamu ya sita
Adolf Mkenda si aliitwa nosense alipokuwa waziri wa viwanda na biashara mbele ya ugeni wa raisi wa uganda.
Wezi wa ripoti ya CAG waliitwaje na malikia na bado wapo wanadunda.
Wanasheria Kule Arusha waliambiwa zitatumia sheria za ndani KUWA-BAR na malikia