Wanaodai Rais Magufuli hakuwa anapingwa ni waongo wakubwa

Nasikia kuna mfanyabiashara amekamTwa kwa kusema serekali hii inakopa ovyo.

Nasikia kuna spika aliwekewa mtuu baada kusema serikali inakopa ovyo.

Nasikia kuna mchora katuni Rotters anashikiliwa kusikojulikana toka mwaka jana baada ya kutuni yake ya mama anaharibu nchi
Kuna msanii kule Geita amehukumiwa miaka 6 gerezan kwa kuikosoa serikali ya awamu ya 6.

Nasikia polepole aliondolewa bungeni na kuondolewa nchini baada ya ukosoaji wake mkali juu ya suala la machinga. Pia nasika machinga wamerudi sehemu zao.
Mbatia baada ya kukosoa sakata la Kumuondoa ndugai Bungeni chama chake kikapokwa na serikali ya awamu 6

Nasikia Jaji mkuu kaongezewa mda na wamu ya 6 kinyume cha katiba.
Vip walioandamana kupinga bandar?

Kuna ripoti ya mto Mara , watu waliathirika sana pamoja na mifugo ya vp RESPONSE ya awamu ya sita

Adolf Mkenda si aliitwa nosense alipokuwa waziri wa viwanda na biashara mbele ya ugeni wa raisi wa uganda.
Wezi wa ripoti ya CAG waliitwaje na malikia na bado wapo wanadunda.

Wanasheria Kule Arusha waliambiwa zitatumia sheria za ndani KUWA-BAR na malikia
 
Mr Tindo mbona kuna wakosoaji wa kipindi cha Magufuli nao kipindi hiki wamekuwa mabubu, The boss Jf,Faizafox, Zito kabwe,January, Nape, Kinana late Membe n.k hii inahashilia kwwmba watu wanapigania mambo binafsi.
Siongelei hawa wanaotumia fake I'd huku mitandaoni maana hatuwajui, na wala hatuna uhakika na maslahi yao. Nape, January, Kinana hawajawahi kumkosoa Magufuli kwa uwazi, hao walikuwa wapiga Majungu, wangalau Zito ndio anayefahamika. Ila Zito inaeleweka kuwa chama chake waasisi wake ni akina JK, Membe nk, na hao ni wafaidika wa utawala huu. Hivyo usitegemee Zito akosoe chochote, bila kusahau chembe chembe cha Udini ambazo ziko nyuma ya Zito.
 
1. Dr.Slaa alipinga lini?
2. Prof.Shivji alipinga lini?
3. Polepole alipinga lini?
4. Kadinali Pengo alipinga lini?.

N.k............... walipinga lini?.
Cardinal Pengo alikuwa Chawa Promax wa Magufuli. Dr Slaa yeye alikuwa mnufaika wa ubalozi kutoka kwa Magufuli. Polepole alikuwa ndiye tarumbeta ya Magufuli.

Shivji aliogopa kabisa, hakuwahi kufungua mdomo wake
 
Hawa chawa wa mama [weirdos] wanaumia sana mama yao anapopingwa!

Kama hawataki apingwe, waende wakamwambie aache urais arudi zake kwao huko Unguja.

Kwahiyo una maanisha hawa wanakosea au Hawana kumbukumbu?
FaizaFoxy @Bigshow The Boss
hawa wote hawajui wanachokiongea?? Maana yake hawa wanasema Magu alikuwa hapingwi watu wameanza Tuu kumpinga Mama[emoji12]
 
Chawa wana compare Apple with an Onion 🤣 very different species!
 
Kwahiyo una maanisha hawa wanakosea au Hawana kumbukumbu?
FaizaFoxy @Bigshow The Boss
hawa wote hawajui wanachokiongea?? Maana yake hawa wanasema Magu alikuwa hapingwi watu wameanza Tuu kumpinga Mama[emoji12]
Hao ni wapumbavu tu.

Wanasukumwa na udini.

They’re nothing but shills for Samia.

Sane people shouldn’t even take them seriously.
 
Kwahiyo una maanisha hawa wanakosea au Hawana kumbukumbu?
FaizaFoxy @Bigshow The Boss
hawa wote hawajui wanachokiongea?? Maana yake hawa wanasema Magu alikuwa hapingwi watu wameanza Tuu kumpinga Mama[emoji12]
Mbona mara nyingi sana nimesema humu watu wote waliokuwa wanamkosoa Magufuli Wana haki ya kumkosoa Samia??

Ambao wanaepaswa kukaa kimya ni wale ambao hawakumkosoa Magufuli kabisa hata watu walipopigwa risasi

Mwanakijiji
Dr Slaa
Pengo
Tibaijuka..
Na wengine kundi hilo...

Otherwise yeyote Yule kama kina Bagonza na Lissu na wengine wote ...haki ya kumkosoa Samia wasizuiwe...
 

Ccm ina nafasi ndogo sana kwenye hili, japo CCM huwa wanajifanya kujitutumua kuwa wana uwezo nalo. Ukweli ni kuwa tatizo liko kwenye katiba yetu hasa kwenye madaraka ya urais. Ni kweli CCM wana nafasi tu ya kumchagua mgombea urais, lakini hawana uwezo wowote wa kumdhibiti, labda awe rais muungwana mwenye soni.

Na kosa kubwa walilofanya ccm ni kumpa mtu anayekuwa rais kupitia chama chao kuwa mwenyekiti. Ni kikao gani kitaendeshwa na CCM kama chama bila mwenyekiti wake kujua ajenda? Na hakuna namna ccm itaacha kumpa uenyekiti mtu mwenye cheo cha urais kupitia chama chao, maana uhai wa CCM uko kwenye madaraka ya cheo cha urais. Na siku ccm itakosea ikatenga cheo cha urais na uenyekiti, huo ndio utakuwa mwisho wa CCM. Na uzuri ukweli huu wanaccm wote wanaujua.

Watu hatukufurahi kwa Kupata rais mwingine kwa maana ya ubora, bali ni kuondokana na yule kiongozi muovu. Ni sawa na kama unaishi kwa kunywa uji usio na sukari, hiyo haimaanishi kuwa siku ukinywa uji wenye sukari ndio utakuwa umekula chakula bora.
 
Kweli
 
Hakuna asiyepingwa mzee.., hizo ni hisia zako tu. Alipingwa Jembe Mwamal Gaddafi sembuse hawa wenye njaa
 
Hawa chawa wa mama [weirdos] wanaumia sana mama yao anapopingwa!

Kama hawataki apingwe, waende wakamwambie aache urais arudi zake kwao huko Unguja.
Kabisa. Akienda kukaa Unguja hakuna ambaye atamtafuta kumkosoa kwa kuishia na mumewe. Yaani wanaona kumkosoa Magufuli ni sawa. Ila kumkosoa Samia si sawa. Hapo inakuwa udini. Ila Magufuli anafaa kutukanwa kila namna. Hawa watu unaweza ukafikiria wanatumia nini kufikiri.
 

Walio mkosoa Mzee Baba wengine mpaka leo hatujui walipo, mfano Saanane na kama Taifa tumeisha sahau hili na kuna familia hawajui mpendwa wao mpaka sasa yupo wapi

Alikosolewa lkn hakuwa mvumilivu na kuna muda zilitumika njia za porini, kama kilichotokea kwa Lissu
 

Kilicho mkuta Ben na hata Lissu ilikuwa ni somo tosha ni mtu gani akikosolewa, wote wanakosolewa na haina shida maana kazi yao lazima wakosolewe , lkn uvumilivu baada ya kukosolewa/maoni tofauti ndo yanawatofautisha mkuu
 
Kumpinga Samia hakuhusiani na udini kabisa.

Kwamba udini umeibuka kwenye bandari tu, sio?

Samia sifa ya kua hata balozi wa nyumba 10 hana, ajabu ni rais wa nchi. Hivi si vituko.

Naamini malaika huko mbinguni wakitaka kuweka channel ya vichekesho wanabonyeza Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…