Ziweke basi maana baada ya kufanikisha ukapewa shavu la kuishi huko kwa Putin bure kabisa.Ntaziweka
Hao sio wahuni kama CCMLabda asirudishe fomu mmojawapo lakini ukisharudisha fomu ndio imetoka hiyo kujitoa hakutakbuliwi na NEC .Watakuweka mgombea . Mengine ujijua mwenyewe
Na huo Ni mtegi mfano mumekubaliana kisirisiri kuwa wewe chukua fomu ila usirudishe NEC akaamua kurudisha utamfanya Nini? Huna Cha kumfanya
Utabaki unalialia kichinichini tu biashara imetoka na yeye mgombea
Don't trust secret arrangements!!!!
Hata wakipitishwa wote bado ni rahisi tu. Mmoja anajitoa anasema hana nia tena ya kugombea. As simple as such.Hapo sasa kila mtu atashinda mechi zake.
ukijitoa NEC wanasema karatasi za kura zilishachapwa, so jina lako litarudi😀😀 na watu watakupigia kura.Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
Unamfundisha uoga Britannica? Mzee Butiku alimaliza,tusiendekeze uoga.sasa kule identiy yako si inaweza kuwa traced! take care please
eti ndo wataamini ccm inaogopaaaaa.Huenda uko sahihi, je ikitokea wote wameidhinishwa na Nec kugombea Urais je mtahamia kwa nani? na kwanini?
Ya jimbo la KibambaAnayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA
Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu
Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande mwengine wakiwaacha wote tunakubali mmoja nyoyo zimevurugwa ccm wanatapatapa hawana nguvu ya kusimama mbele ya umma na kuwadanganya.
Lazima kuwa na ubunifu ili ikitokea aina yeyote ya mizengwe Upinzani usikose mwakilishi imara,
Britannica
Kujitoa wakati majina yamepitishwa kuna athari zake,maana majina yote yatatokea kwenye karatasi ya kura,na hivyo hata akijitoa kura zitagawanyika.Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
Ni yeyeKuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
OK, nakupata vema sana. Hoja yako ina nguvu...labda kwa vile watanzania tuna nuts zimelegea. Mtu atashindwa kujua kuwa yule kajitoa ili upinzani upate nguvu...... level of understanding ya watu wetu ni tatizoKujitoa wakati majina yamepitishwa kuna athari zake,maana majina yote yatatokea kwenye karatasi ya kura,na hivyo hata akijitoa kura zitagawanyika.
ImetokeaHuenda uko sahihi, je ikitokea wote wameidhinishwa na Nec kugombea Urais je mtahamia kwa nani? na kwanini?
Mawazo yako yanaanza na kuenguliwa, halafu unaita wengine wavivu wa kufikiri
Kama.una adui mkubwa nafsini kwako, ni kuona kila.fikra zako ziko deep kuliko za wengine
Kumbe ana mbinuNakuelewa vyema kabisa, utupe zile mbinu mlizokuwa mnatumia CCM kutuibia kura
Atakua nazoKumbe ana mbinu
Wala siko Kwa Putin kisa siasa nooZiweke basi maana baada ya kufanikisha ukapewa shavu la kuishi huko kwa Putin bure kabisa.
hiMmoja atajitoa hatua za mwisho