Uchaguzi 2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

Uchaguzi 2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

Labda asirudishe fomu mmojawapo lakini ukisharudisha fomu ndio imetoka hiyo kujitoa hakutakbuliwi na NEC .Watakuweka mgombea . Mengine ujijua mwenyewe

Na huo Ni mtegi mfano mumekubaliana kisirisiri kuwa wewe chukua fomu ila usirudishe NEC akaamua kurudisha utamfanya Nini? Huna Cha kumfanya
Utabaki unalialia kichinichini tu biashara imetoka na yeye mgombea

Don't trust secret arrangements!!!!
Hao sio wahuni kama CCM
 
Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
ukijitoa NEC wanasema karatasi za kura zilishachapwa, so jina lako litarudi😀😀 na watu watakupigia kura.
 
Huenda uko sahihi, je ikitokea wote wameidhinishwa na Nec kugombea Urais je mtahamia kwa nani? na kwanini?
eti ndo wataamini ccm inaogopaaaaa.

stupid kweli kweli...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA

Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu
Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande mwengine wakiwaacha wote tunakubali mmoja nyoyo zimevurugwa ccm wanatapatapa hawana nguvu ya kusimama mbele ya umma na kuwadanganya.

Lazima kuwa na ubunifu ili ikitokea aina yeyote ya mizengwe Upinzani usikose mwakilishi imara,

Britannica
Ya jimbo la Kibamba
 
Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
Kujitoa wakati majina yamepitishwa kuna athari zake,maana majina yote yatatokea kwenye karatasi ya kura,na hivyo hata akijitoa kura zitagawanyika.
 
Kuna logic! Kama wana nia ya kuungana, ni matter ya mmoja kujitoa mwishoni if all two will be certified! , this also can work effectively!
Nikuulize, hivi Britanicca wa Twitter ndio wwe?
Ni yeye
Huoni hata content zao zinaendana.
 
Kujitoa wakati majina yamepitishwa kuna athari zake,maana majina yote yatatokea kwenye karatasi ya kura,na hivyo hata akijitoa kura zitagawanyika.
OK, nakupata vema sana. Hoja yako ina nguvu...labda kwa vile watanzania tuna nuts zimelegea. Mtu atashindwa kujua kuwa yule kajitoa ili upinzani upate nguvu...... level of understanding ya watu wetu ni tatizo
 
Back
Top Bottom