OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hawakawii hawa wakisanukiwa huwa wanasepa.Sijui Kama watahama uwanja tena
KWA JEMEDARI SAID "JKT"Sasa watahamia wapi tena!?
Unawezaje kufanya uchawi kwa kutumia spray?View attachment 3235766
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Simba inaingiaje hapo!!? Uto pambaneni na Hali zenu bila kuitaja Simba ..Imani ya kishirikina bongo imetawala sana, si simba si yanga, si wanasiasa yaani ni hatari.. Kwenye mabiashara usiseme.
Harafu.Harafu una ambiwa JF home of great thinkers! Thinkers wenyewe ndio hawa wamejaa ushirikina vichawani
Maskini YangaView attachment 3235766