Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usajili wenu ni upi kwa mfano..Aziz k anaekosa penalty au Dube anaeanguka anguka hovyo....Mliambiwa fanyeni usajili wa maana mka puuza ona sasa mnavyo hangaika, mnakuja na tetesi za ulozi.
Endeleeni kumwaga mpunga kwa marefa lakini ubingwa mta usikia tu.
Barahamira omumana ya ayakunileSasa watahamia wapi tena!?
Mambo ya ushirikina ni kwa low minded people.View attachment 3235766
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Cctv camera ziliwaondoa Azam Complex sababu ya uchawi waoView attachment 3235766
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Baada ya ushirikina kushindikana matokeo ya mechi ubao unasomaje?View attachment 3235766
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Kinesi .. maana kule kwa meja isamuho pagumu kwenda kufanya ulozi kule mbele ya ma- MPSasa watahamia wapi tena!?