Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

Mliambiwa fanyeni usajili wa maana mka puuza ona sasa mnavyo hangaika, mnakuja na tetesi za ulozi.

Endeleeni kumwaga mpunga kwa marefa lakini ubingwa mta usikia tu.
 
Lakini lengo la kuanzisha hii timu si mnalijua?
Acheni wafanye utamaduni wao
 
Mliambiwa fanyeni usajili wa maana mka puuza ona sasa mnavyo hangaika, mnakuja na tetesi za ulozi.

Endeleeni kumwaga mpunga kwa marefa lakini ubingwa mta usikia tu.
Usajili wenu ni upi kwa mfano..Aziz k anaekosa penalty au Dube anaeanguka anguka hovyo....
 
View attachment 3235766
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Cctv camera ziliwaondoa Azam Complex sababu ya uchawi wao
 
Ni sayansi ya kiafrika!! Goalkeeper atakapoona mipira miwili na kuukimbilia wa uwongo ndio utajua sayansi ya Africa inafanya kazi.
 
View attachment 3235766
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Baada ya ushirikina kushindikana matokeo ya mechi ubao unasomaje?
 
Back
Top Bottom