Wanaodhani Mh. Lisu hatahukumiwa kunyongwa, warejee kisa cha Babu Seya na kesi yake ya ubakaji

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,222
Reaction score
2,912
Nadhani walio wengi mnakumbukumbu na aina ya kesi aliyohukumiwa nayo Babu Seya na familia yake

Kesi ile haikuwa ya uhaini kama ya Tundu Lisu, lakini iliendeshwa kimezengwe mizengwe kama ya Tundu Lisu

Ilivuta hisia za wengi kama hii ya Tundu Lisu,

Ushahidi wa kesi ile uliohusisha watoto wadogo wa kike na kiume waliodaiwa kubakwa na kulawitiwa uliacha mashaka mashaka kwa wananzengo

Lakini hatimaye Babu Seya na familia yake walihukumiwa kifungo cha maisha hadi hapo Magufuri alipoamua kuwasamehe

Hatujui kama msamaha wa Rais ulitokana na "rumansi" kwamba ilikuwa kesi ya mchongo yenye harufu ya ugomvi wa kimapenzi ama laa

Ninachokikumbuka mimi zaidi ni kauli ya Jaji aliyetoa hukumu ile aliyoitoa siku moja mbele ya kamera baada ya kustaafu alipoulizwa na mwanahabari kuwa ni kesi ipi aliyowahi kuhukumu hatokaa aisahau?

Alisita kidogo na kutafakari kisha akajibu bila kufafanua sana kuwa ilikuwa ni kesi ya Babu Seya na familia yake

Mazingira yanaonyesha kuwa kuna kila aina ya shinikizo kesi ya Tundu Lisu iendeje.

Kama ilivyokuwa kwa Babu Seya, kesi ile ilienda enda huku dalili zote zikionyesha majaji hawakuwa wale wanaokalia vile viti,

Hali kadhalika hata kwa Tundu Lisu ni kama majaji sio wale wanaoonekana

Naanza kupata mashaka ipo siku jopo lile litakosa majibu endapo wataulizwa kama waliwezaje kuona uhaini ndanj ya mtu mmoja asiyemiliki siraha wala jeshi?

Watababaika zaidi endapo wataambiwa watoe maoni kama uhaini ni matamshi au zao la matamshi?

Naziona dalili hizi na ziko wazi kwasababu wananchi waliotegemewa ku push vingenevyo, hawana wanalofanya zaidi ya kusikitika masikitiko ambayo kwa wale wengine ni furaha kwao
 
Kukubali Kunyongwa nii ushindi mkubwa kuliko kuuza utu wako au uhuru wako.

Hata kina Mkwawa wanaheshikika mpaka leo sio kwasababu waliwashinda wajerumani, bali ni kwasababu walikuwa tayari kufa kuliko ku-surrender mbele ya wajerumani
 
ok.🐒
 
Mpaka Tundu Lissu kashakuwa Shujaa , achana na kesi ya Babu Seya kipindi kile upatikanaji wa taarifa ulikuwa ni finyu na hii kesi inasemwa dunia nzima
 
Streets is watching.
 
Binafsi Niko tayari kufanya hujuma maridhawa Kwa kiwango sawia na hukumu atakayopewa lissu na ndio utakuwa mwisho wangu wa kuwa keyboard warrior!
 
Ndio maana ya kukinukisha ndio kanuka sasa

USSR
 
Binafsi Niko tayari kufanya hujuma maridhawa Kwa kiwango sawia na hukumu atakayopewa lissu na ndio utakuwa mwisho wangu wa kuwa keyboard warrior!
Hii ni mara ya 22 unajiapiza na kubakia hapahapa

USSR
 
Lissu akinyongwa, Samia tunamchinja na kumchoma kama mbuzi halafu tutawapa mbwa wamle.

Hakuna Tanzania hii wa kuzuia nyomi ya mtu milioni 60+.
 
Kukubali Kunyongwa nii ushindi mkubwa kuliko kuuza utu wako au uhuru wako.

Hata kina Mkwawa wanaheshikika mpaka leo sio kwasababu waliwashinda wajerumani, bali ni kwasababu walikuwa tayari kufa kuliko ku-surrender mbele ya wajerumani
Lisu ni mjinga sana alimtukana Magufuli bila sababu za msingi akaanza kula deal na wazungu ndege zetu zikaanza kukamatwa amefanya mengi ya hovyo sana afungwe tu kwakweli
 
Nadhani walio wengi mnakumbukumbu na aina ya kesi aliyohukumiwa nayo Babu Seya na familia yake

Kesi ile haikuwa ya uhaini kama ya Tundu Lisu, lakini iliendeshwa kimezengwe mizengwe kama ya Tundu Lisu

Ilivuta hisia za wengi kama hii ya Tundu Lisu,

Ushahidi wa kesi ile uliohusisha watoto wadogo wa kike na kiume waliodaiwa kubakwa na kulawitiwa uliacha mashaka mashaka kwa wananzengo

Lakini hatimaye Babu Seya na familia yake walihukumiwa kifungo cha maisha hadi hapo Magufuri alipoamua kuwasamehe

Hatujui kama msamaha wa Rais ulitokana na "rumansi" kwamba ilikuwa kesi ya mchongo yenye harufu ya ugomvi wa kimapenzi ama laa

Ninachokikumbuka mimi zaidi ni kauli ya Jaji aliyetoa hukumu ile aliyoitoa siku moja mbele ya kamera baada ya kustaafu alipoulizwa na mwanahabari kuwa ni kesi ipi aliyowahi kuhukumu hatokaa aisahau?

Alisita kidogo na kutafakari kisha akajibu bila kufafanua sana kuwa ilikuwa ni kesi ya Babu Seya na familia yake

Mazingira yanaonyesha kuwa kuna kila aina ya shinikizo kesi ya Tundu Lisu iendeje.

Kama ilivyokuwa kwa Babu Seya, kesi ile ilienda enda huku dalili zote zikionyesha majaji hawakuwa wale wanaokalia vile viti,

Hali kadhalika hata kwa Tundu Lisu ni kama majaji sio wale wanaoonekana

Naanza kupata mashaka ipo siku jopo lile litakosa majibu endapo wataulizwa kama waliwezaje kuona uhaini ndanj ya mtu mmoja asiyemiliki siraha wala jeshi?

Watababaika zaidi endapo wataambiwa watoe maoni kama uhaini ni matamshi au zao la matamshi?

Naziona dalili hizi na ziko wazi kwasababu wananchi waliotegemewa ku push vingenevyo, hawana wanalofanya zaidi ya kusikitika masikitiko ambayo kwa wale wengine ni furaha kwao
Wamnyonge haraka, nchi ichangamke
 
Siasa za udalali la kulamba lamba zimeisha jamani , someni upepo

Lissu ataishi na watesi wake wote watakufa video vya aibu sana, yaani kuanzia Mahakimu, Majaji, Polisi, Usalama hadi Wanasiasa Watakufa vifo vya aibu na majuto sana
 
Back
Top Bottom