Uchaguzi 2020 Wanaodhani Rais Magufuli hatashinda kihalali wanajidanganya

Tatizo ni kwamba uhalali wa "ushindi" wake haupo. Proof ni behavior na matendo ya serekali anayo iongoza.
 
Ruhusuni free and fair politics kisha box ndo liamue.
Msiwabanie wenzenu wakati mnasema mnakubalika.
Wacha wananchi wawapime kwa hoja huku kila chama kikipewa Uhuru sawa wa kufanya kazi yake ya kushawishi.
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Akili za Kuku...
 
Kwani katiba inampa miaka mingapi si 5 tu?Kama muda haumtoshi aachie amefeli.Kwani wewe unaitwa nani weka namba ya simu hapa sio pm nikutajie [emoji1][emoji1][emoji1]
Ulitaka afanye yote kwa miaka 5? Unalipa kodi kiasi gani?
 
Nakubaliana na wewe kwa hoja zako, wengine watasema ni majukumu ya serikali ni kweli but serikali imekuwepo miaka yote mbona ilikuwa vigumu kupata vyote hivi? Tunatakiwa kukubali kuwa kuna wakati tulipoteza mwelekeo kama taifa but kwa sasa mwelekeo upo na ni mwelekeo sahihi. Binafsi natamani angeongezewa miaka 10 mingine baada ya term ya pili kuisha.
HII NCHI WENGI TUNAJIJUA NA TUNAYAISHI HAYA MAISHA YA KUTOWAJIBIKA HATA KTK NGAZI YA MTU BINAFSI SO KUPATA MTU ANAYEWEZA KUSIMAMIA UWAJIBIKAJI KWA KIWANGO KIKUBWA HIVI NI LULU KWA TAIFA NA KWA MANUFAA YA VIZAZI VIJAVYO.
 
Katika Tanzania ya leo, naweza kuwa na shaka na kupata oxygen kwa maisha yangu ya kila sike lakini katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. KITU PEKEE AMBACHO NINA UHAKIKA KITATOKEA KWA MWAKA HUU NI KUSHINDWA VIBAYA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2020 KWA VYAMA VYA UPINZANI.
 
Sina chama.Naona vyama vya upinzani ni mamluki wa ccm jioni wanakunywa kahawa wanatuteta jinsi gani watakavyotulaghai wananchi.
Acha bangi za Chadema mkuu.
 
Na uwezo huwo wakushinda kihalali hana na hatakuwa nao.
 
Ukweli ni kua hakuna MKULIMA, MFANYAKAZI, MFANYABIASHARA AU MWANAFUNZI anayeweza kumpigia kura magufuli au ccm....
CHADEMA NI CHAMA CHA MIOYO YA WATU WAKATI ccm ni chama cha mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi
 
Bro umeongea points Sana

Ila kumbuka Sana hii ni Africa hata ujitahidi kuwafanyia wa Africa kitu kizuri vp usitegemee watakusema kwa mazuri

Mfano tu Gaddafi alivyokuwa akiwajali wananchi wake na kuwapa al most huduma zote muhimu lakini tizama wameishia kumfanya nini tena kwa madharau, sasa hivi wanajuta


Sasa wewe utaongea mpaka utachoka lakini hakuna mtu atakuelewa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu lissu tangu aanze kuwa Mbunge wa jimbo lake kafanya nini hasa cha maana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema kanisa!! Mnyonge mnyongen lakin haki yake mpeni! Viva Raid wetu umetutoa tunaheshimika. N gumzo Afrika na Dunia nzima inaposikika raid Magufuli ! Korona had inaijua tz kuliko ilikotoka maana haijaungwa mkon ikatimka nna kutokomea mbali
 
Mbali na hayo aliyoyatekeleza, aliahidi sh. 50M kila kijiji. Mimi zamu ya kijiji chetu bado haijafika huku
 
Ccm tangu ianzishwe haijawahi KUSHINDA KIHALALI
 
Wewe unaweza ukawa chizi, kwahiyo wewe ndio umepewa kazi ya kuitisha kura ya maoni?
 

Hayo uliyoandika hapa weupe wa Afrika kusini waliyafanya miaka mingi nyuma na zaidi, ila weusi wa huko hawakukubali kuwa chini ya utawala huo dhalimu. Kukuonyesha kuwa maendeleo sio tiketi ya kuongoza watu kwa shuruti, Nyerere akawapa mpaka kambi wapigania uhuru wa Afrika kusini hapo Morogoro. Ina maana Nyerere hakujua kuwa nchi ya Afrika kusini weupe walikuwa wanaleta maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…