Uchaguzi 2020 Wanaodhani Rais Magufuli hatashinda kihalali wanajidanganya

Kwamba waziri mmoja na wabunge wawili?
Kwani ingejulikana vipi kuwa ilikuwepo na ilikua Kali mkuu? Si Mpaka wagonjwa wawepo na hata vifo vyakuogofya viwepo ndipo sasa ugonjwa ukiondoka na kuwa sio tishio tena then unashukuru saana Mungu. Huwez jua kuna mtu mrefu hadi mfupi awepo!
 
hata 2015 ngoma ilikuwa isambe ikabidi abwebwe ki utu uzima.
 
Kuna awamu wanafunzi wote walipata mikopo? Ajira zinaletwa na serikali? Kama mshahara hautoshi si uache hiyo kazi ufanye kitu kitakacho kuingizia zaidi?
Mkibanwa haya ndio majibu yenu.
 
Jibu swali

Maelezo yangu yako vizuri sana, hiyo miradi uliyotaja kuwa ndio sababu ya Magufuli kukubalika, hata weupe wa Afrika kusini walifanya. Tena ni mara mia ya hii unayoibabaikia leo. Je kwanini hao weusi waliwapinga weupe waliofanya maendeleo? Ni kipi kunakufanya uone kuwa Magufuli anakubalika sana kwa ajili ya hivyo vitu?
 
Mbali na hayo aliyoyatekeleza, aliahidi sh. 50M kila kijiji. Mimi zamu ya kijiji chetu bado haijafika huku
Hajamaliza kipindi mkuu, silaha zingine ni za kumalizia karibu na mwisho! Lkn pia angalia asilimia ya utekelezaj wa yalioahidiwa yamefanywa kwa ufanisi mkubwa!
 
CCM haijawahi shinda kihalali hata siku moja
 
Hajamaliza kipindi mkuu, silaha zingine ni za kumalizia karibu na mwisho! Lkn pia angalia asilimia ya utekelezaj wa yalioahidiwa yamefanywa kwa ufanisi mkubwa!
Hakuahidi kutekeleza asilimia
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Mlisema hivi hivi kwa Ben saanane kuwa kajiteka.
 
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu.

Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa wananchi kama Mh Magufuli; narudia hayupo. Nimekutana na watu mbalimbali sehemu mbalimbali na kila unayemgusia kuhusu utendaji wa JPM atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20.

Hivi tunajifanya hatujaona ununuzi wa ndege ambazo kwa miaka mingi wapinzani wameitukana nchi kwa kukosa ndege hata moja? Sasa mwamba kanunua ndege 8 kwa cash na ni ndani ya miaka 5 kweli hatujaona?

Tembea nchi nzima uone miradi ya barabara inavyokwenda kwa kasi, hivi kweli tunajifanya hatujaona mpaka tunathubutu kusema JPM hajafanya kitu?

Wakazi wa Dar hivi mfugale Bridge, Ubungo Interchange havina msaada kwenu? Vipi barabara za mitaa nazo hamzitaki? Au zimejengwa na Lissu?

Miradi ya umeme kule kijijini kwenu kupitia REA nayo hamwoni? Miradi ya maji je? Kwanini hamna shukrani?

Huduma za afya mnazionaje? Hamwoni vituo vipya vya afya vilivyo jengwa nchi nzima? Hospitali zilizo jengwa na zilizo boreshwa nazo hamjaona? Vifaa vyakisasa kwenye hospitali hamjaona?

Mara ya mwisho kutembelea bandari za Dar, Tanga na Mtwara mmeona tofauti gani? Ni kweli Mh Rais hajafanya kitu? Viwanja vya ndege je? Vipi kuhusu ununuzi wa rada nalo hamjaona?

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa pamoja na mradi wa bwawa la kuzalisha umeme nayo hamjaona? Sio miaka 20 ni ndani ya miaka 5 tu.

Maboresho ya jiji la Dodoma pamoja na ikulu ya Chamwino pia hamjaona? Nikweli JPM hajafanya chochote?

Uhuru wa kujieleza mnaoutaka ni upi? Maana mnamtukana mitandaoni, mna kejeli kwa hisani ya mabeberu na mko huru tu, hivi mmewahi kusikia au kushuhudia uwepo wa watu kama Zitto, Fatma Karume, Maria Sarungi nk ktk serikali za China na North Korea? Unasemaje Tanzania hakuna uhuru?

Hamjaona ujenzi wa meli mpya kule Victoria? Yale si maendeleo? Au hamjaona? Mnasikia tena habari za ufisadi? Nikweli mioyo yenu haiwasuti?

Yapo mengi sana aliyoyafanya JPM ndani ya muda mfupi alio kaa madarakani, kama wewe ni mnafiki unaweza sema hakuna kilicho fanyika lakini kama una akili unajua tu mwaka huu wapinzani wanaambulia patupu.

Mh Magufuli huna hata haja ya kupiga kampeni, mwaka huu ushindi ni wakishindo maana unakubalika sana. Ziara zako ni ushahidi tosha wa jinsi tunavyo kukubali.

Nawasilisha.
Watu hawapingi maendeleo upinga udikteta yaani kuswaagwa Kama mbuzi.Hizi ni dharau.Watu wanapinga kutawaliwa awapingi kuongozwa
 
Tatizo ni pale hata baada ya kuutambua ukweli huo, bado unapeleka timu huku ukijua fika kwamba, marefa ni Wa kwao, mpira wameleta wao, uwanja ni Wa kwao, walinzi wameleta wao na hata kamisaa Wa mchezo kaletwa na wao.

Na huu ndiyo upumbavu Wa kiwango chake
Bora uingie uwanjani mashabiki ndio waamuzi na sio refa Wala kamisaa,
Maamuzi ni ya wananchi
 
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu.

Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa wananchi kama Mh Magufuli; narudia hayupo. Nimekutana na watu mbalimbali sehemu mbalimbali na kila unayemgusia kuhusu utendaji wa JPM atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20.

Hivi tunajifanya hatujaona ununuzi wa ndege ambazo kwa miaka mingi wapinzani wameitukana nchi kwa kukosa ndege hata moja? Sasa mwamba kanunua ndege 8 kwa cash na ni ndani ya miaka 5 kweli hatujaona?

Tembea nchi nzima uone miradi ya barabara inavyokwenda kwa kasi, hivi kweli tunajifanya hatujaona mpaka tunathubutu kusema JPM hajafanya kitu?

Wakazi wa Dar hivi mfugale Bridge, Ubungo Interchange havina msaada kwenu? Vipi barabara za mitaa nazo hamzitaki? Au zimejengwa na Lissu?

Miradi ya umeme kule kijijini kwenu kupitia REA nayo hamwoni? Miradi ya maji je? Kwanini hamna shukrani?

Huduma za afya mnazionaje? Hamwoni vituo vipya vya afya vilivyo jengwa nchi nzima? Hospitali zilizo jengwa na zilizo boreshwa nazo hamjaona? Vifaa vyakisasa kwenye hospitali hamjaona?

Mara ya mwisho kutembelea bandari za Dar, Tanga na Mtwara mmeona tofauti gani? Ni kweli Mh Rais hajafanya kitu? Viwanja vya ndege je? Vipi kuhusu ununuzi wa rada nalo hamjaona?

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa pamoja na mradi wa bwawa la kuzalisha umeme nayo hamjaona? Sio miaka 20 ni ndani ya miaka 5 tu.

Maboresho ya jiji la Dodoma pamoja na ikulu ya Chamwino pia hamjaona? Nikweli JPM hajafanya chochote?

Uhuru wa kujieleza mnaoutaka ni upi? Maana mnamtukana mitandaoni, mna kejeli kwa hisani ya mabeberu na mko huru tu, hivi mmewahi kusikia au kushuhudia uwepo wa watu kama Zitto, Fatma Karume, Maria Sarungi nk ktk serikali za China na North Korea? Unasemaje Tanzania hakuna uhuru?

Hamjaona ujenzi wa meli mpya kule Victoria? Yale si maendeleo? Au hamjaona? Mnasikia tena habari za ufisadi? Nikweli mioyo yenu haiwasuti?

Yapo mengi sana aliyoyafanya JPM ndani ya muda mfupi alio kaa madarakani, kama wewe ni mnafiki unaweza sema hakuna kilicho fanyika lakini kama una akili unajua tu mwaka huu wapinzani wanaambulia patupu.

Mh Magufuli huna hata haja ya kupiga kampeni, mwaka huu ushindi ni wakishindo maana unakubalika sana. Ziara zako ni ushahidi tosha wa jinsi tunavyo kukubali.

Nawasilisha.
"atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20."
hapo ndo ukada unapokosa mashiko.
 
Magufuli is a country bumpkin.

That does not mean he will not win fairly.

But he is still a country bumpkin.
 
Uchaguzi huu naona wanapoteza hela tuu maana inajulikana kabisa nani atakua Rais tena afe kipa afe beki nguvu iliyotumika miaka mitano nyuma na tunakokwenda ni kubwa sana kwa kweli...
 
Kushinda kihalali ni kwa jinsi gani?
 
Uchaguzi huu naona wanapoteza hela tuu maana inajulikana kabisa nani atakua Rais tena afe kipa afe beki nguvu iliyotumika miaka mitano nyuma na tunakokwenda ni kubwa sana kwa kweli...
Wanajua wakipita bila uchaguzi, watakosa misaada ya mabeberu.
Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ni hatari sana,
 
Uhuru gani unaohitaji katika tume? Hivi hii tume inatofauti gani na ile iliyo tangaza ushindi kwa Lissu, Mbowe na Zitto? Uhuru gani labda unaotaka wewe
Simba na Yanga zikicheza refa akawa Haji manara nani atashinda
 
Utawaaminishaje watu mgombea amepata idadi kubwa ya kura kuliko wengine ?
Kupata idadi kubwa ya kura za wananchi ukilinganisha na wagombea wengine
 
Huko kwenu tu ameshashinda au mnataka kumpitisha bila kupingwa? huku kwingine ni kazi za wananchi
 
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu.

Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa wananchi kama Mh Magufuli; narudia hayupo. Nimekutana na watu mbalimbali sehemu mbalimbali na kila unayemgusia kuhusu utendaji wa JPM atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20.

Hivi tunajifanya hatujaona ununuzi wa ndege ambazo kwa miaka mingi wapinzani wameitukana nchi kwa kukosa ndege hata moja? Sasa mwamba kanunua ndege 8 kwa cash na ni ndani ya miaka 5 kweli hatujaona?

Tembea nchi nzima uone miradi ya barabara inavyokwenda kwa kasi, hivi kweli tunajifanya hatujaona mpaka tunathubutu kusema JPM hajafanya kitu?

Wakazi wa Dar hivi mfugale Bridge, Ubungo Interchange havina msaada kwenu? Vipi barabara za mitaa nazo hamzitaki? Au zimejengwa na Lissu?

Miradi ya umeme kule kijijini kwenu kupitia REA nayo hamwoni? Miradi ya maji je? Kwanini hamna shukrani?

Huduma za afya mnazionaje? Hamwoni vituo vipya vya afya vilivyo jengwa nchi nzima? Hospitali zilizo jengwa na zilizo boreshwa nazo hamjaona? Vifaa vyakisasa kwenye hospitali hamjaona?

Mara ya mwisho kutembelea bandari za Dar, Tanga na Mtwara mmeona tofauti gani? Ni kweli Mh Rais hajafanya kitu? Viwanja vya ndege je? Vipi kuhusu ununuzi wa rada nalo hamjaona?

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa pamoja na mradi wa bwawa la kuzalisha umeme nayo hamjaona? Sio miaka 20 ni ndani ya miaka 5 tu.

Maboresho ya jiji la Dodoma pamoja na ikulu ya Chamwino pia hamjaona? Nikweli JPM hajafanya chochote?

Uhuru wa kujieleza mnaoutaka ni upi? Maana mnamtukana mitandaoni, mna kejeli kwa hisani ya mabeberu na mko huru tu, hivi mmewahi kusikia au kushuhudia uwepo wa watu kama Zitto, Fatma Karume, Maria Sarungi nk ktk serikali za China na North Korea? Unasemaje Tanzania hakuna uhuru?

Hamjaona ujenzi wa meli mpya kule Victoria? Yale si maendeleo? Au hamjaona? Mnasikia tena habari za ufisadi? Nikweli mioyo yenu haiwasuti?

Yapo mengi sana aliyoyafanya JPM ndani ya muda mfupi alio kaa madarakani, kama wewe ni mnafiki unaweza sema hakuna kilicho fanyika lakini kama una akili unajua tu mwaka huu wapinzani wanaambulia patupu.

Mh Magufuli huna hata haja ya kupiga kampeni, mwaka huu ushindi ni wakishindo maana unakubalika sana. Ziara zako ni ushahidi tosha wa jinsi tunavyo kukubali.

Nawasilisha.
Wa kwanza kudhani hivyo ni Maguful mwenyewe.
 
Back
Top Bottom