Uchaguzi 2020 Wanaodhani Rais Magufuli hatashinda kihalali wanajidanganya

Kwamba waziri mmoja na wabunge wawili?
Kwani ingejulikana vipi kuwa ilikuwepo na ilikua Kali mkuu? Si Mpaka wagonjwa wawepo na hata vifo vyakuogofya viwepo ndipo sasa ugonjwa ukiondoka na kuwa sio tishio tena then unashukuru saana Mungu. Huwez jua kuna mtu mrefu hadi mfupi awepo!
 
hata 2015 ngoma ilikuwa isambe ikabidi abwebwe ki utu uzima.
 
Kuna awamu wanafunzi wote walipata mikopo? Ajira zinaletwa na serikali? Kama mshahara hautoshi si uache hiyo kazi ufanye kitu kitakacho kuingizia zaidi?
Mkibanwa haya ndio majibu yenu.
 
Jibu swali

Maelezo yangu yako vizuri sana, hiyo miradi uliyotaja kuwa ndio sababu ya Magufuli kukubalika, hata weupe wa Afrika kusini walifanya. Tena ni mara mia ya hii unayoibabaikia leo. Je kwanini hao weusi waliwapinga weupe waliofanya maendeleo? Ni kipi kunakufanya uone kuwa Magufuli anakubalika sana kwa ajili ya hivyo vitu?
 
Mbali na hayo aliyoyatekeleza, aliahidi sh. 50M kila kijiji. Mimi zamu ya kijiji chetu bado haijafika huku
Hajamaliza kipindi mkuu, silaha zingine ni za kumalizia karibu na mwisho! Lkn pia angalia asilimia ya utekelezaj wa yalioahidiwa yamefanywa kwa ufanisi mkubwa!
 
CCM haijawahi shinda kihalali hata siku moja
 
Hajamaliza kipindi mkuu, silaha zingine ni za kumalizia karibu na mwisho! Lkn pia angalia asilimia ya utekelezaj wa yalioahidiwa yamefanywa kwa ufanisi mkubwa!
Hakuahidi kutekeleza asilimia
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Mlisema hivi hivi kwa Ben saanane kuwa kajiteka.
 
Watu hawapingi maendeleo upinga udikteta yaani kuswaagwa Kama mbuzi.Hizi ni dharau.Watu wanapinga kutawaliwa awapingi kuongozwa
 
Bora uingie uwanjani mashabiki ndio waamuzi na sio refa Wala kamisaa,
Maamuzi ni ya wananchi
 
"atakwambia kama ingewezekana tumwongeze miaka hata 20."
hapo ndo ukada unapokosa mashiko.
 
Magufuli is a country bumpkin.

That does not mean he will not win fairly.

But he is still a country bumpkin.
 
Uchaguzi huu naona wanapoteza hela tuu maana inajulikana kabisa nani atakua Rais tena afe kipa afe beki nguvu iliyotumika miaka mitano nyuma na tunakokwenda ni kubwa sana kwa kweli...
 
Kushinda kihalali ni kwa jinsi gani?
 
Uchaguzi huu naona wanapoteza hela tuu maana inajulikana kabisa nani atakua Rais tena afe kipa afe beki nguvu iliyotumika miaka mitano nyuma na tunakokwenda ni kubwa sana kwa kweli...
Wanajua wakipita bila uchaguzi, watakosa misaada ya mabeberu.
Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ni hatari sana,
 
Uhuru gani unaohitaji katika tume? Hivi hii tume inatofauti gani na ile iliyo tangaza ushindi kwa Lissu, Mbowe na Zitto? Uhuru gani labda unaotaka wewe
Simba na Yanga zikicheza refa akawa Haji manara nani atashinda
 
Utawaaminishaje watu mgombea amepata idadi kubwa ya kura kuliko wengine ?
Kupata idadi kubwa ya kura za wananchi ukilinganisha na wagombea wengine
 
Huko kwenu tu ameshashinda au mnataka kumpitisha bila kupingwa? huku kwingine ni kazi za wananchi
 
Wa kwanza kudhani hivyo ni Maguful mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…