Uchaguzi 2020 Wanaodhani Rais Magufuli hatashinda kihalali wanajidanganya

Hapa kibaha tu kilomita moja toka barabara kuu sina umeme wala maji. Natumia solar na nimechimba kisima kwa jembe la mkono
Wa huko upcountry sijui wana hali gani
 
Pia watumishi wa umma wamepata nyongeza ya mishahara kila mwaka (2016,2017,2018,2019)
Jumlisha ajira lukuki kila Mwaka zimekuwa zikitolewa. 😀 😀
Usicheze na Jiwe bwana, sasa tunatembea kifua mbele sababu tumekuwa "dona kantri" mpaka mabeberu wanatuonea wivu.
 
Come on you baffoon, you can lick another boot now.
 
Na
Bora uingie uwanjani mashabiki ndio waamuzi na sio refa Wala kamisaa,
Maamuzi ni ya wananchi
Ukishindwa ukae kimya maana mazingira ya mchezo uliyajua kabla hujaingia maana mwisho Wa siku mwamuzi Wa mwisho ni refa.

Matokeo hayatabadilika hata kama refa atachukuliwa hatua
 
Tukubaliane kwanza. Msitoe wapinzani. Kampeni ziende kibishi hivyo hivyo ila asifungwe mtu. Nakala za matokeo wapewe wawakilishi. Tume hiyo. Nyie mjipange kutoa matokeo tu.
 
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.
 
Alishinda kihalali kabisa.

Hakukuwa na wizi wowote ule vituoni.

Mdhalimu mkubwa jiwe Mungu hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…