Wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru

Yaani kuwa MC ni ujanja janja anaiba nini? Sababu wote watapandisha bei na mwisho wa siku Kodi ya ukumbi na ya MC atailipa mwenye sherehe. litendee haki fuvu hilo
 
Enhee! Walipe tuu, kwani lazima kufanya sherehe? Muachage ujinga makondoo nyinyi.
 
Bora mziki uendelee hivihivi mwanzomwisho ili wananchi waje kukumbuka kazi zilizokuwa zinafanywa na wapinzani kutetea wananchi.
Wananch hawana hatia, wao walipiga kura kwa usahihi ila matokeo yalikuwa yameshapangwa.

Mi nataka wale mbwa waliokuwa wanapga kelele mi5 tena waje waliongelee tena.
 
Yaani kuwa MC ni ujanja janja anaiba nini? Sababu wote watapandisha bei na mwisho wa siku Kodi ya ukumbi na ya MC atailipa mwenye sherehe. litendee haki fuvu hilo
Yaani mkuu kila anaepata kipato.. Kidogo au kikubwa lazima alipe kodi
May Mc wasilipe kodi wakati wanapita kwenye flyover??
 
Sengerema hapo imetumika tu kama ignitor ila hio inshu inaonekana iko tayari drafted itumike Nation wide, Hapo imeanzishwa kupima upepo na kwa vile umesikia ina baraka ya Tamisemi tegemea kutekelezwa Nchi nzima
 
Wanakunja hela ndefu hawa, siwahurumii hata kidogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…