Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui.
Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu na wanyama wengine hatarishi wafe.
Tulioamini utawala wa awamu ya tano tunafarijika kuona mbinu zilezile za kuua majoka vichakani zikitumika katika awamu. Licha ya kwamba sasa tunae mwanamke katika vita hii lakini imani yetu kwake ni kubwa sana.
Ulipoingia utawala wa awamu ya sita majoka yaliamini yapo huru kuvamia majumba ya watu lakini kumbe sivyo mbinu inayotumika sasa imeboreshwa zaidi, wanaachwa kwanza waamini wapo huru halafu wanaangamizwa kabisa katika shambulizi la kushtukiza.
Hivyo tusiwe na wasiwasi ,Rais Samia ni mtu wa vitendo haswa na hawezi kuona majoka hayo yakidhuru watu bila kufanya lolote, wajiandae kisaikolojia kulia kile kilio kisicho na mfutaji machozi. Majizi yatashughulikiwa bila huruma.
CCM HAINA WENYEWE, CCM NI YA WOTE