Wanao furahia mfumo wa sasa Tanzania ni wajinga. Mfumo ambao haufuati sheria yeyote hata kama zipo ni mfumo wa ajabu sana.
Kesho akija Rais mwingine anaweza kuamua kutaifisha chochote kwa yeyeote. Cha kushangaza kuna watu wanafumbia macho utekaji, kubambikiziwa kesi sasa miaka mitano tu wanatekana wenyewe. Unyanyasaji umezidi, sheria hazifuatwi kiasi kwamba utamaduni huo umeingia mpaka CCM!
Hivyo kwa wale ndugu zetu misekule hawana hata sababu ya msingi ya kuunga mkono mfumo huu ambao hawajali mtu. Piganieni mchakato wa kuweka nchi huru