Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

Hata Mchungaji Msigwa asibezwe!.
P
Ni kweli maana mchungaji naona ameamua kufanya politiki sehemu ya maisha yake mpaka kufa hahitaji masuala ya kuweka legacy ya ukweli bali anaweka legacy ya kwamba ukitaka kuishi kwenye siasa we cheza siasani tu.
 
Wakuu salam,

Msikilizeni Gambo hapa, eti hii ilikuwa siri baina yao, lakini Lema kasababisha hadi Gambo kaitoa nje!
View attachment 3130095
Duh...!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…