Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

Tanzania kuna vitu hatuvielewi kwanza dah ingekuwa vituo vya kura vipo JF na isnta& fb basi tungepata watu wa ajabu sana ila sasa vituo vya uchaguzi vipo kijijini tena mashuleni tulikokuwa tunatolewa ujinga kuna makundi ambayo hupaswi kuyategemea katika uchaguzi au kisiasa
1: Boda boda ni wazuri sana kukusuport na kukupigia honi na kukupatia msafara mrefu na wametundika bendera kwenye pikipiki zao ila wakati wa kupiga kura 75% hawaendi kushiriki hawna muda wa kupanga foleni
2: Vijana ambao ndio wanachipukia 18-25 kuna baadhi walikuwa hawana vigezo vya kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kwa kigezo cha umri na kuna baadhi hawana vitambulisho aidha kwa kuvivunja au kupoteza na ndio wenye kelele sana na washabiki wakufa mtu na hawa ndio huongeza nyomi na shangwe nyingi upigaji wa kura ni85% hupotea na ndio wenye fujo
3: Kundi baya kuliko ni hili hapa mitandao ya kijamii hawa ni wengi sana na wapiga porojo sana ni sawa na mbwa anaebweka sana ila ukimtishia kidgo anaenda kujificha hadi uvunguni ndio hao wanaosubiria vituo vya kura jf,fb na inst n.k
4: Kundi la wapigaji kura sasa 25---------100 hawa ni wale ambao ndio washiriki wa kupiga kura na huwa wanaondoka na kwenda kufanya shughuli nyingine hasa 40yrs na kuendelea sasa kama unafanyia siasa za mtandaoni subiri jua litokee magharibi kwenda mashariki
 
 
Jana mzee kanipigia cm mwanae(mdgo wangu) kamuibia kichinjio maana alishamstukia mzee anaenda kufanya maamuzi ambayo yeye yupo tofauti nayo alafu yeye nae hana sifa za kupiga kura maana hana kichinjio na ndio alikuwa campaign member wa hatari sana
 
Mnawezaje kufananisha chama ambacho kipo madarakani na vyama ambavyo havijawahi kushika dora?

1. Chama Dora kina nguvu kutokana na serikali kuwa madarakani na huu ni uchaguzi mdogo. Imetumia mbinu zote na nguvu lengo likiwa ni kuhakikisha wanabadilisha misimamo ya wenye mioyo dhaifu ili wawe na imani nacho. Samahani naomba kuiliza. Hivi mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na nani na analipwa na nani?
2.
 
Pasco, umetoa uzi wako wa pongezi na pole bila kugusia mapungufu makubwa katika hizo chaguzi, ambayo yame determine kwa kiasi kikubwa sana hayo matokeo yaliyopatikana
 
Mkuu Paskali 2020 majimbo yakirudi CCM hakuna jipya litakotokea bungeni zaidi ya ndiyo tu. Tunatamani 2020 kuwe na nusu kwa nusu bungeni , hii italeta changamoto chanya kwa taifa
 
 
Ujinga mtupu,yakisharejeshwa,baada ya miaka kuisha akija mwingine tena yanarudi upinzani?! Btn kurejesha kunasaidia nn wananchi?

Unashindwa kwa nguvu then unajisifia? Ungeshinda bila nguvu hapo tyngeongea mengine!

Aibu tupu
 
Ujinga mtupu,yakisharejeshwa,baada ya miaka kuisha akija mwingine tena yanarudi upinzani?! Btn kurejesha kunasaidia nn wananchi?

Unashindwa kwa nguvu then unajisifia? Ungeshinda bila nguvu hapo tyngeongea mengine!

Aibu tupu
ni sawa na kupita exam kwa madesa
 
Asante kwa kusaidia mawazo ni vyema NEC wayapokee ili kuboresha zoezi la upigaji kura liwe la kisasa na kuwashirikisha watu wote wahusike wenye sifa.
 
Hapa ndo umeongea kitu cha msingi sana. Just imagine eneo kama Arumeru, eneo ambalo unafahamu fika kuwa ni ngome ya chama fulani halafu wewe unashindishwa kwa nguvu, unategemea uongoze wananchi kivipi kama hawakutaki? Ndo maana baadaye unashangaa viongozi wanaanza kufa kihoro. Tusubiri tuone. Mara nyingi mtawala hufurahia anapolazimisha kuiamnisha dunia kuwa anapendwa lakini siku zote muda ukifika huamua tu
 
Binafsi nitumie fursa hii kuvipongeza vyama vyote na wagombea walioshiriki uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 43.
Pia, niwapongeze washindi wote na wale walioshindwa.Hii ni dalili kwamba pamoja na yote yaliyotokea, bado tumeangalia maslahi mapana ya wananchi wetu na jamii kwa ujumla.
Kimtazamo, matokeo haya yana maana kubwa kwa wapinzani kwa kuwa yanawapa uwanja mpana wa kutathmini mbinu na mienendo yao wakati wa uchaguzi na ufaafu wake kwa manufaa ya vyama vyao.Hapa kuna haja ya kuangalia mafanikio waliyoyapata kwa kila eneo na hali kadhalika mapungufu na namna ya kuyaondoa kuelekea 2019/2020.
 
Uashakua wa hovyo sana wewe rudisha id ya Pasco... mana nahisi imesha haribiwa na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…