Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

Huu ni mpango maalumu wa kukiua chama cha mapinduzi. Wana ccm asilia/ halisi wanachinjiwa baharini na nafasi yao kuchukuliwa na wana ccm pandikizi. Madhara yake yataonekana hivi punde kwenye vikao vya kupitisha maamuzi magumu. Tusubiri tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.

Jambo letu kwenye uzi huu ni ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani kata 43.

Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!

Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.

Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.

Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".

Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.

Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, (vyama vingi vina kelele nyingi), kazi itabaki ni moja tuu, kuleta maendeleo na tutapata maendeleo kama China. China ni nchi ya chama kimoja cha siasa na ina maendeleo makubwa, na sasa ndio inaelekea kutawala uchumi wa dunia, na sisi Tanzania we can follow its foot steps, tuna kila kitu cha kutuwezesha kutawala uchumi wa Africa Mashariki, uchumi wa SADC na uchumi wa Bara la Africa.

Viva Magufuli
Viva Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema.

Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...

Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...

Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
hahahahahahahahaha nacheka kwa dharau................maana kuna watu walikutukana wakati unapost hi post
 
Hiki nilichokisema kwenye bandiko hili, leo kimewekwa wazi na Katibu Mkuu wa CCM
Dkt. Bashiru katika bandiko hili

Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Dr. Bashiru amesema
aliye na dola ananufaika na dola hiyo kubaki madarakani, huo ni ukweli hata CHADEMA ikiingia kwenye dola kuiondoa kwenye dola utakuwa ni uzembe wake kwa sababu ana nafuu na faida yakuwa na dola.

Wanaosubiri sisi tulegelege kwenye kutumia dola kubaki kwenye dola watasubiri sana, hata Trump kumuondoa ngumu, kuna nafuu kubwa na faida kubwa chama kilichopo madarakani kutumia nguvu za dola kufanya mambo ya kujenga imani kwa wapiga kura ili kiweze kubaki madarakani. Aliye na dola ndiye ananufaika na dola ile kubaki madarakani, huo ni ukweli na hata CHADEMA ikiingia madarakana ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wake. Kwasababu ana nafuu na faida ya kuendelea kubakia.

tumetumia vizuri dola kubaki madarakani
Hivyo tunapo waeleza humu kuwa CCM itatawala milele, naomba mtuelewe!. Wapinzani wanaojitambua, wametambua hili na kufanya uamuzi sahihi. Ila kwa vile nchi yetu ni nchi ya vyama vingi, then ni ruksa watu kuwepo upinzani ili kutimiza takwa la kisheria la mfumo wa vyama vingi hivyo upinzani wa Tanzania ni upinzani uchwala wa kuamsha amsha tuu na kubaki upinzani wa milele, lakini kutawala ni CCM milele.

P
 
Kama nilivyoeleza baadhi ya hawa wanasiasa wanaohamia CCM wanaona mbali, na wengine wanaanza kufaidika na mafao ya kuhama kwao, mmoja wa wafaidika hawa ni Dr. Mashinji.
Leo amelipiwa faini yake ya milioni 30 na CCM
Sasa anasubiria tuu uteuzi.
Kiukweli kabisa huyu jamaa kaona mbali.
P
 
Ni kweli wanao mbali kwa sababu ya matumbo yao! Kitu ambacho unatamani kitokee kwako.
Usichoelewa ni kuwa Viongozi hawashindi uchaguzi bali wananchi ndio wanashinda uchaguzi pale tunapompata kiongozi anayewakilisha matakwa yetu.
Kwa maoni yangu .Kwangu mimi haujawahi anayechukia Rushwa na Ufisadi.labda tumsubiri !
Unategemea tusipinge ufisadi wa kununua watu wajiuzulu ubunge halafu unaitisha uchaguzi na kutumia bill 2 halafu unashabikia wameona mbali ?
Utawala wa sheria
Haki pasipo ubaguzi
Uhuru wa binadamu
Maendeleo ya watu.
Wameyona ?

lanzania yangu hatujawahi kumpata hadi hivi leo labda Mwalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THvj
Siamini kama chama kimoja cha siasa kupata viti vyote ni mfumo wa chama kimoja kwani vyama vingine kama 18 vipo kwenye register ya msajili wa vyama vya siasa.
Kuna vyama huwa havipati ushindi lakini haina maana kuwa sio vyama vya siasa.
Naongea haya kama kweli uamuzi utafanywa na wananchi bila kuingiliwa uhuru wao wa kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika chaguzi za Tanzania kwa kipindi hiki si uhuru na haki. Hakuna uwanja sawa wa mapambano kwenye uchaguzi.
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.

Jambo letu kwenye uzi huu ni ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani kata 43.

Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!

Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.

Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.

Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".

Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.

Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, (vyama vingi vina kelele nyingi), kazi itabaki ni moja tuu, kuleta maendeleo na tutapata maendeleo kama China. China ni nchi ya chama kimoja cha siasa na ina maendeleo makubwa, na sasa ndio inaelekea kutawala uchumi wa dunia, na sisi Tanzania we can follow its foot steps, tuna kila kitu cha kutuwezesha kutawala uchumi wa Africa Mashariki, uchumi wa SADC na uchumi wa Bara la Africa.

Viva Magufuli
Viva Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema.

Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...

Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...

Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Pascal, makeke sana we mkuu.
Najua unajaribu kuwa sarcastic but you need to master your craft. Otherwise you are funny.
Nina matatizo na matumizi ya maneno 'trend reading' kwenye kiingereza ni kama haina maana. Kuna trending books, trending songs, trending threads za humu ndani, lakini trend reading ndio nini sasa.
Kama unahisi uzi utasomwa sana au uta trend sana humu, basi, we post na waachie wadau.
Kuna trending threads humu, kule jukwaa mchanganyiko kuna kuna uzi wa pombe by Mshana na MMU kuna kula tunda kimasihara. Hizi nyuzi zina page 300 mpaka 600, now these are trending threads in true meaning of the word.
 
Mkuu Oumuamua, naomba nianze kwa kukupa pole za Elimu zetu sisi akina St. Kayumba, kufuatia kutoka kapa lugha za watu.
Naomba niwe mwalimu wako kidogo kwa kufungua darasa la lugha

Lugha ya Kiswahili ina upungufu mkubwa wa misamiati kwa baadhi ya maneno kuwa na maana zaidi ya moja lakini Kiswahili kinakuwa hakina mnyumbuliko wa maana tofauti tofauti ya neno hilo.

Neno Trend ni mwelekeo na trends ni mielekeo
Trends setters ni wale wanao set trends
Trends readers ni wale wanaosoma trends, yaani kusoma mielekeo.
Political trends ni mielekeo ya kisiasa.
Trends inapotumika kwenye news or posts sio mielekeo bali ni hits. News inayotrend ni news inayosomwa sana, habari ya mujini. Blogs inayotrend sana ni Millard Ayo, Mtandao wa kijamii unaongoza kwa ku trends Tanzania ni JF, kidunia ni FB, Twitter, Instagram na YouTube etc.

Ninachofanya ni kusoma mielekeo na kuwaeleza kile kinachokuja kutokea October 2020.
Ila mimi pia baadhi ya threads zangu humu jf pia huwa zina trends mfano ni hii, angalia iko page ngapi...
Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo? - JamiiForums

P
 
Wanabodi.

Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.

Jambo letu kwenye uzi huu ni ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani kata 43.

Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!

Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.

Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.

Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.

Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".

Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.

Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, (vyama vingi vina kelele nyingi), kazi itabaki ni moja tuu, kuleta maendeleo na tutapata maendeleo kama China. China ni nchi ya chama kimoja cha siasa na ina maendeleo makubwa, na sasa ndio inaelekea kutawala uchumi wa dunia, na sisi Tanzania we can follow its foot steps, tuna kila kitu cha kutuwezesha kutawala uchumi wa Africa Mashariki, uchumi wa SADC na uchumi wa Bara la Africa.

Viva Magufuli
Viva Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatatu Njema.

Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...

Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...

Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Huo Ni uchambuzi tu .kumbuka gadaffi alikuwa na mipango ya miaka mitano lakini wapinzani aliyowaita panya walimuua kwenye mtaro miezi mitatu baadae.mipango uchwara ya jiwe na CCM inajulikana . Huwezi kuishi kwa kuiba ,kuuwa na kunyang'anya alafu ukabaki salama
 
Mayala mgombea wa upinzani atapatikana last minute .Kwa siasa za kikoloni hutarajii kumnusa saizi na ndio maana mnahaha kuchombeza chombeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,

Hii ni update ya hizi trends nilizozizungumza humu za kuelekea 2020,
  1. Humu nilisema uchaguzi wa 2020, wapinzani wengi watapoteza majimbo na kata zao na kuchukuliwa na CCM, hivyo wanasiasa wenye kuona mbali watajiunga na CCM, hili limeendelea kufanyika na kutokea.
  2. Chadema wameishajua watapoteza kata karibu zote na majimbo karibu yote kwa madiwani na wabunge wake kuhamia CCM, ndio maana inaweza kuwafuta uanachama wabunge wake, kinyume cha katiba yake, kanuni na bila kufuata taratibu walizojiwekea.
  3. Tangazo la Mhe. Spika jana Bungeni kuwa Mhe. Mbowe hatarudi Bungeni ni uthibitisho wa hoja za bandiko hili, kuwa kuna kitu CCM wamekipanga, kitakakachofanya wapinzani wasirudi Bungeni 2020, sasa kama Spika katangaza hata Mwenyekiti wa Taifa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe hata rejea Bungeni!, then who will?!.
  4. Mbowe ni Mbunge wa Machame, amechaguliwa na wananchi wa Machame kuwa Mbunge wao na mwakilishi wao Bungeni, wenye uamuzi wa kama Mhe. Mbowe atarejea Bungeni au la, ni wapiga kura wa Machame na sio Spika wa Bunge. Kwa vile Spika wa Bunge ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, kauli ya Spika kuwa Mbowe hatarejea Bungeni ni kauli nzito inayothibitisha nilicho kisema humu kuwa Bunge la 2020 ni Bunge la CCM and CCM only!.
  5. Cheo cha Spika ni miongoni mwa vyeo vya derivatives au secondary, cheo cha msingi ni ubunge, yaani mtu huwezi kuwa spika hadi kwanza uwe Mbunge, the same kwa mawaziri na manaibu mawaziri, hivyo cheo cha msingi cha Spika wa Bunge ni Mbunge wa Kongwa, uspika ni cheo cha sekondari tuu kinaweza kuondolewa. Kitendo alichofanya Spika kumtangaza Mbowe hatarejea Bungeni ni Spika kukivaa kichwani cheo cha Spika, hivyo uspika umempanda kichwani na kuvuka mipaka ya jurisdiction yake, kwa Mbunge wa Kongwa, kuwaamulia wana Machame nani ndiye atakuwa Mbunge wao 2020 na sio Mbowe hata kama wao Mbowe wanampenda vipi!. Hili la vyeo kuwapanda kichwani baadhi ya viongozi ni tatizo kubwa!. Kwa mfumo wetu wa vyama vingi, hata rais wa JMT hawezi kutangaza hadharani kitu ambacho Spika amekitangaza!, if anything happens to Mbowe, Spika will be in a hot soup to justifies alipotangaza kuwa Mbowe hatarejea Bungeni, how did he know?, kwani CCM wamepanga kumfanya nini Mbowe hadi asirejee Bungeni?, au by now tayari Spika wa Bunge ameisha letewa orodha ya wabunge wa 2020 ambayo inaonyesha Mbowe hatakuwepo?.
  6. Wakati napandisha bandiko hili, kitu kinachoitwa The NCCR Mageuzi Factor was not there hivyo nikaeleza humu kuwa wabunge wote wanaojitambua, watahamia CCM, lakini kufuatia a recent assumed secret alliance between CCM and NCCR Mageuzi to be secret allies, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, baadhi ya watakao hama Chadema hawatahamia CCM bali watahamia NCCR-Mageuzi kwa ahadi kuwa CCM haitasimamisha wagombea strong wenye nguvu katika majimbo ya NCCR-Mageuzi, watasimamisha wagombea weak ili NCCR Mageuzi ishinde Chadema.
  7. Kitakacho tokea ni ili kuubomoa upinzani kwenye maeneo ambayo ni ngome na strong holds za Chadema, ambazo kamwe CCM haiwezi kushinda, hatua ya kwanza ni kuzigawanya kura za upinzani.
  8. Uchaguzi Mkuu wa 2020 NCCR-Mageuzi haitajiunga na upinzani kusimamisha mgombea mmoja dhidi ya CCM.
  9. Hivyo sasa wote watakao enguliwa Chadema ama watajiunga CCM ama NCCR-Mageuzi, hivyo kila jimbo la Chadema kwa 2020 litakuwa na wagombea 3, mgombea wa Chadema wenye jimbo, mgombea wa NCCR-Mageuzi na mgombea wa CCM.
  10. Kwavile jimbo lilikuwa Chadema mfano Rombo, then kuna watu ni loyalists wa Chadema, wao wakamchagua mgombea yeyote atakayepitishwa na Chadema.
  11. Joseph Selasini atagombea kupitia NCCR-Mageuzi hivyo kuna wana Rombo wanamkubali hivyo watampigia kura zao
  12. Mchuano mkali utakuwa ni kati ya Chadema na NCCR-Mageuzi ndio wata zi split kura za upinzani kwa kugawana kura huku mgombea wa CCM amesimama pembeni akishuhudia vita vya panzi.
  13. Matokeo ya mwisho ni atakayeshinda ni mgombea wa CCM kwa slim margin kwasababu Chadema na NCCR-Mageuzi watagawana kura.
  14. Hata Mwenyekiti mwenyewe wa NCCR-Mageuzi hatakuwa salama jimbon kwake kwasababu Chadema watamsimamishia mtu, CCM itajiokotea, hivyo hoja ya 2020 ni CCM pekee kwa huku bara still stands.
  15. Sehemu pekee trick hii itagonga mwamba ni Zanzibar, kule CCM itafanya alliance na CUF ili wapinzani wagawane kura kati ya CUF na ACT-Wazalendo ili CCM washinde. Kwa kule ACT-Wazalendo haswa kwa upande wa Pemba, I doubt kama CUF or CCM wataambulia kitu. Hivyo wabunge pekee wa upinzani wenye uhakika wa kuingia Bungeni ni kutoka ACT-Wazalendo.
  16. Kwa upande wa bara, kama Zitto asipoteuliwa kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya upinzani, (if Tundu Lissu atarudi), then kwa maoni yangu, Zitto ndiye Mbunge pekee wa upinzani huku bara atakayeweza kuli retain jimbo lake kwa kirahisi, hivyo Zitto ndio likely atakuwa KUB kwa Bunge la 2020, hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu na kwa uwezo wake, huo Muziki wake as KUB, licha ya Bunge lijalo kuwa ni Bunge la CCM dominated, lakini kwa KUB kama ZZK, huo mchakamchaka wa Zitto utakuwa usipime!.
P
 
Wanabodi,

Hii ni update ya hizi trends nilizozizungumza humu za kuelekea 2020,
  1. Humu nilisema uchaguzi wa 2020, wapinzani wengi watapoteza majimbo na kata zao na kuchukuliwa na CCM, hivyo wanasiasa wenye kuona mbali watajiunga na CCM, hili limeendelea kufanyika na kutokea.
  2. Chadema wameishajua watapoteza kata karibu zote na majimbo karibu yote kwa madiwani na wabunge wake kuhamia CCM, ndio maana inaweza kuwafuta uanachama wabunge wake, kinyume cha katiba yake, kanuni na bila kufuata taratibu walizojiwekea.
  3. Tangazo la Mhe. Spika jana Bungeni kuwa Mhe. Mbowe hatarudi Bungeni ni uthibitisho wa hoja za bandiko hili, kuwa kama hata Mwenyekiti wa Taifa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe hata rejea Bungeni!, then who will?!.
  4. Mbowe ni Mbunge wa Machame, amechaguliwa na wananchi wa Machame kuwa Mbunge wao na mwakilishi wao Bungeni, wenye uamuzi wa kama Mhe. Mbowe atarejea Bungeni au la, ni wapiga kura wa Machame na sio Spika wa Bunge. Kwa vile Spika wa Bunge ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, kauli ya Spika kuwa Mbowe hatarejea Bungeni ni kauli nzito inayithibitisha nilicho kisema humu kuwa Bunge la 2020 ni Bunge la CCM and CCM only!.
  5. Cheo cha Spika ni miongoni mwa vyeo vya derivatives au secondary, cheo cha msingi ni ubunge, yaani mtu huwezi kuwa spika hadi kwanza uwe Mbunge, the same kwa mawaziri na manaibu mawaziri, hivyo cheo chs msingi cha Spika wa Bunge ni Mbunge wa Kongwa, uspika ni cheo cha sekondari tuu kinaweza kuondolewa. Kitendo alichofanya Spika kumtangaza Mbowe hatarejea Bungeni ni Spika kukivaa kichwani cheo cha Spika, hivyo uspika umempanda kichwani na kuvuka mipaka ya jurisdiction yake, kwa Mbunge wa Kongwa, kuwaamulia wana Machame nani ndiye atakuwa Mbunge wao 2020 na sio Mbowe hata kama wao Mbowe wanampenda vipi!. Hili la vyeo kuwapanda kichwani baadhi ya viongozi ni tatizo kubwa!. Kwa mfumo wetu wa vyama vingi, hata rais wa JMT hawezi kutangaza hadharani kitu ambacho Spika amekitangaza!, if anything happens to Mbowe, Spika will be in hot soup to justifies alipotangaza kuwa Mbowe hatarejea Bungeni, how did he know?, kwani CCM wamepanga kumfanya nini Mbowe hadi asirejee Bungeni?, au by now tayari Spika wa Bunge ameisha letewa orodha ya wabunge wa 2020 ambayo inaonyesha Mbowe hatakuwepo?.
  6. Wakati napandisha bandiko hili, kitu kinachoitwa The NCCR Mageuzi Factor was not there hivyo nikaeleza humu kuwa wabunge wote wanaojitambua, wahamia CCM, lakini kufuatia a recent assumed secret alliance between CCM and NCCR Mageuzi to be secret allies, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, baadhi ya watakao hama Chadema hawahamia CCM bali watahamia NCCR-Mageuzi kwa ahadi kuwa CCM haitasimamisha wagombea wenye nguvu katika majimbo ya NCCR-Mageuzi.
  7. Kitakacho tokea ni ili kuubomoa upinzani kwenye maeneo ambayo ni ngome ya Chadema, na CCM kamwe haiwezi kushinda, hatua ya kwanza ni kuzigawanya jura za upinzani. Uchaguzi wa 2020 NCCR-Mageuzi haitajiunga na upinzani kusimamisha mgombea mmoja dhidi ya CCM.
  8. Hivyo sasa wote watakao enguliwa Chadema ama watajiunga CCM ama NCCR-Mageuzi, hivyo kila jimbo la Chadema kwa 2020 litakuwa na wagombea 3, mgombea wa Chadema wenye jimbo, mgombea wa NCCR-Mageuzi na mgombea wa CCM.
  9. Kwavile jimbo lilikuwa Chadema mfano Rombo, then kuna watu ni loyalists wa Chadema, wao wakamchagua mgombea yeyote atakayepitishwa na Chadema.
  10. Joseph Selasini atagombea kupitia NCCR-Mageuzi hivyo kuna wana Rombo wanamkubali hivyo watampigia jura zao
  11. Mchuano mkali utakuwa ni kati ya Chadema na NCCR-Mageuzi ndio wata zi split kura za upinzani kwa kugawana kura huku mgombea wa CCM amesimama pembeni akishuhudia vita vya panzi.
  12. Matokeo ya mwisho ni atakashinda ni mgombea wa CCM kwa slim margin kwasababu Chadema na NCCR-Mageuzi watagawana. Hata Mwenyekiti mwenyewe wa NCCR-Mageuzi hatakuwa salama jimbon kwake kwasababu Chadema watamsimamishia mtu, CCM itajiokotea, hivyo hoja ya 2020 ni CCM pekee kwa huku bara still stands.
  13. Sehemu pekee trick hii itagonga mwamba ni Zanzibar, kule CCM itafanya alliance na CUF ili wapinzani wagawane kura kati ya CUF na ACT-Wazalendo ili CCM washinde. Kwa kule ACT-Wazalendo haswa kwa upande wa Pemba, I doubt kama CUF or CCM wataambulia kitu. Hivyo wabunge pekee wa upinzani wenye uhakika wa kuingia Bungeni ni kutoka ACT-Wazalendo.
  14. Kwa upande wa bara, kama Zitto asipoteuliwa kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya upinzani, (if Tundu Lissu atarudi), then kwa maoni yangu, Zitto ndiye Mbunge pekee wa upinzani atakayesema kuli retain jimbo lake kwa kirahisi, hivyo Zitto ndio likely atakuwa KUB kwa Bunge la 2020, hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu na kwa uwezo wake, huo Muziki wake as KUB, licha ya Bunge lijalo kuwa CCM dominated, lakini mchakamchaka wa Zitto utakuwa usipime!.
P
Naunga mkono hoja ila SIUNGI mkono Aina ya Siasa za Chama changu CCM tatizo la ndugu zetu upande wa pili wavivu sna wa kusoma narudia tna km wanataka kuleta siasa zenye tija kwa taifa ili wa jaribu japo kusoma kitabu hiki tu lipo kujifunza kubwa sna
IMG-20200403-WA0065.jpg

Bandiko lako ni zuri la trend reading, lakini limechukulia kila kitu "AT STANDARD TEMPERATURE AND PRESSURE" kama tulivyozoea kwenye somo la kemia, yaani kwamba mazingira yasipobadilika kila kitu nivyo kitakavyokuwa. Tusisahau kwamba:-
  1. Wapiga kura wa mwaka 2015 si wale wale wa 2020, vijana wengi wapya ambao hawakuwa na sifa za kujiandikisha kupiga kura kunako 2015 wamejiandikisha na wana mtazamo wao. Wana machaguo yao ya wanaowataka wawawakilishe bungeni
  2. Ndani ya vyama vya siasa (vyote) kuna wanachama ambao wanataka kushindana na waliopo madarakani kugombea (ni haki yao pia). Bahati mbaya sana hili ndio lilimpokonya uanachama Membe. Hawa nao kwa ngazi za ubungu na udiwani wana uwezekano wa kupita
  3. Ndani ya CCM kwenyewe kuna mtifuano, kwa hiyo wapo wataotoka CCM kwenda upinzani. Ndani ya CCM Kumbuka sakata la Nape Vs Hawa Ng'umbi na wakampa ubunge Mnyika.
Nawasilisha
 
Nyie Chadema Mwakani Mtakua na wabunge 2 au 3
Kwa hesabu za bandiko hili, Chadema ikifanikiwa kupata wabunge 2 au 3, hao ni wengi!. Bandiko hili linasema CCM kukomba majimbo karibu yote ya huku bara.
P
 
Utabiri wako hautatimia kamwe maana mpaka Sasa CCM wenyewe kwanza wanafanya kila wanaloweza ili James Mbatia awe KUB wa bunge lijalo. Kuna majimbo CCM hata ikishinda imepanga kuwaachia NCCR mageuzi likiwemo Jimbo la Kigoma mjini na Jimbo moja la Kibondo- Kigoma. Mpaka hapo Hakuna Chama kimoja tena. Na Hizi ni taarifa kutoka vikao vya Mara kwa Mara vya Siri vya Wana CCM.
 
Kwa hesabu za bandiko hili, Chadema ikifanikiwa kupata wabunge 2 au 3, hao ni wengi!. Bandiko hili linasema CCM kukomba majimbo karibu yote ya huku bara.
P
Sana sana Wawili watapata ambao wote ni Wageni
 
Back
Top Bottom