Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi.Vipi mkuu Mayalla, trend reading ya wapinzani waliohamia ili kusecure nafasi zao 2020 imewasaidia?
Kuna wengine hata tatu bora hawapo na wao tutegemee nini? Au itategemeana na siku hiyo mheshimiwa ameamkaje? [emoji38][emoji38]Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi.
P
Kigwangala alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kugombea Nzega, alikuwa ni mtu wa 4!.Kuna wengine hata tatu bora hawapo na wao tutegemee nini? Au itategemeana na siku hiyo mheshimiwa ameamkaje? [emoji38][emoji38]
Kwa hiyo ETI hata Dr Mashinji nae aendelee kuishi kwa matumaini, MWEEE?.🤣🤣🤣Kigwangala alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kugombea Nzega, alikuwa ni mtu wa 4!.
P
Mimi trend reading yangu ina kuonesha wewe ukiteuliwa kuwa mgombea wa jimbo la Chato au viti maalumuKigwangala alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kugombea Nzega, alikuwa ni mtu wa 4!.
P
Basi tuendelee kusubiri kwa matumaini naamini na wewe hawata kusahau mkuuKigwangala alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kugombea Nzega, alikuwa ni mtu wa 4!.
P
Endelea kupanua magoliKigwangala alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kugombea Nzega, alikuwa ni mtu wa 4!.
P
Kigwangala alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kugombea Nzega, alikuwa ni mtu wa 4!.
P
Wanabodi.
Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.
Jambo letu kwenye uzi huu ni ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani kata 43.
Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!
Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.
Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.
Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.
Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".
Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.
Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, (vyama vingi vina kelele nyingi), kazi itabaki ni moja tuu, kuleta maendeleo na tutapata maendeleo kama China. China ni nchi ya chama kimoja cha siasa na ina maendeleo makubwa, na sasa ndio inaelekea kutawala uchumi wa dunia, na sisi Tanzania we can follow its foot steps, tuna kila kitu cha kutuwezesha kutawala uchumi wa Africa Mashariki, uchumi wa SADC na uchumi wa Bara la Africa.
Viva Magufuli
Viva Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...
Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Ndg yangu ktk uzi wako huu umejitahidi sana kupindapinda lakini dhumuni lako ni ku-support au kufurahia ujio wa chama kimoja na kujipigia debe asa mungu anaweza kuingiza huruma si lazima maendeleo yaletwe na chama kimoja kama mfano wako wa china zipo nchi nyingi za vyama vingi zimeendelea lakini utambue maendeleo ya vitu hayana tija bila maendeleo ya watu nchi zote zilizoendele kwanza zilianza na maendeleo ya watu hata hivyo miaka mitano iliopita ilikuwa ni utawala wa chama kimoja ebu tupe maendeleo ya watu yaliopatikana kwa hoja hiyo bado hujatushawishi.Wanabodi.
Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo jambo lililofanyika bali bali unaliangalia kwa kujiuliza the motive behind jambo hili kufanyika jinsi hiyo lilivyofanyika ni nini? na matokeo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu wa jambo hili ni nini?, ndipo unakuja na conclusion kama hii.
Jambo letu kwenye uzi huu ni ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa marudio wa madiwani kata 43.
Politics is a game of hide and seek and the changing variables, hivyo kwa mazingira ya sasa ya siasa za Tanzania ya Magufuli, wanasiasa karibu wote walioko upinzani, with very few exceptions, wenye uwezo wa kuona mbali kwa kusoma trends za kisiasa kwa kuangalia mwelekeo wa 2020, kwa matokeo haya, watakuwa wameishasoma mazingira yaliyopo na hali halisi ya siasa zetu za Tanzania na siasa za upinzani nchini katika kipindi hiki cha Tanzania ya Magufuli na their chances ya upinzani kushinda kata yoyote au jimbo lolote kuelekea 2020, hivyo, wenye kuona mbali, wameamua kufanya uamuz wa mapema kwa kuvihama vyama vyao sasa kwa kujiunga CCM!, ili ku secure their positions mapema badala ya kusubiri kifo hiyo 2020!
Hivyo kwa hali hii, kama kuna mtu yoyote anataka kuwa na future kwenye politics za Tanzania kuelekea 2020, then mtu huyo, atajiunga CCM now!. Uthibitisho ni matokeo ya uchaguzi huu wa madiwani wa kata 43 kwa jinsi CCM ilivyotetea kata zake zote, na kukomba kata zote zilizokuwa zinasikiliwa na upinzani kasoro moja.
Hivyo kwa wanasiasa wanauojua kutazama mbali kwa kusoma trends, then siasa za Tanzania kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, kama kuna mwanasiasa yoyote, au wowote, wanataka future ya politics ambao politics kwao sio past time baada ya kustaafu, au wito wa utumishi wa umma, bali politics kwao ni kama ajira yao ya kudumu na kukamata ulaji, kujitafunia keki ya taifa, chama cha kujiunga nacho ni CCM pekee!.
Hapa nazungumzia ukweli halisi wa kitu kilichopo, ambao unaweza kuwa ni ukweli mtamu kwa CCM na ukweli mchungu kwa wapinzani, bila kujalisha kama Tume yetu ya Uchaguzi ni tume huru, au la, na kama chaguzi zetu ni changuzi huru na za haki, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho tuu, ya kitu kilichotokea, ambacho ndicho kilichopo, ni CCM imeshinda!, bila kujalisha imeshindaje au imeshinda kwa mbinu gani, ziwe ni mbinu halali au haramu, CCM imeshinda kihalali kwa kufanya siasa safi, au kiharamu kwa kubebwa na wasimamizi wa uchaguzi, au upinzani umeshindwa kihalali kutokana na udhaifu wa kukosekana upinzani imara, ama upinzani umechezewa faulo za waziwazi, hapa mimi nazungumzia matokeo ya mwisho ya mshindi ni nani.
Aliyetangazwa mshindi ndiye aliyeshinda, na mshindi ni mshindi tuu, the winner takes it all, the looser standing small, aliyeshinda kashinda, ndiye mshindi na ni mshindi halali kwa mujibu wa kanuni ya "the end justify the means".
Wapinzani poleni sana!, CCM hongereni sana kwa ushindi huu, na hongereni kubwa in advance kwa chaguzi nyingine ndogo zitakazofuatia, na hongera kubwa zaidi in advance ni hongera ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, 2019 ambapo CCM itakomba kila mtaa na kila kata, lila kitongoji na kila kijiji na matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ndio yatawafungua macho, wengi, hiki kitu mimi ninachokizungumzia humu kwa sasa, na matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa Tanzania kutabadili kabisa structure ya mfumo wa vyama vingi kwa Tanzania kuwa ni nchi ya vyama vingi kwa sababu kiukweli Tanzania kuendelea kuitwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini in actual facts, Tanzania post 2020, inakwenda kuwa ni nchi ya chama kimoja!, 2020, Tunakwenda kuijenga Tanzania mpya, Tanzania ya chama kimoja, Tanzania ya CCM tuu and only CCM!.
Hongera sana rais Magufuli kuturudishia Tanzania ya Nyerere kwa kuirudisha Tanzania yetu kuwa ni nchi ya chama kimoja cha siasa, CCM, hivyo baada ya 2020 kwa Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, (vyama vingi vina kelele nyingi), kazi itabaki ni moja tuu, kuleta maendeleo na tutapata maendeleo kama China. China ni nchi ya chama kimoja cha siasa na ina maendeleo makubwa, na sasa ndio inaelekea kutawala uchumi wa dunia, na sisi Tanzania we can follow its foot steps, tuna kila kitu cha kutuwezesha kutawala uchumi wa Africa Mashariki, uchumi wa SADC na uchumi wa Bara la Africa.
Viva Magufuli
Viva Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.
Jumatatu Njema.
Paskali
Rejea
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha ...
Jee Magufuli Anaimarisha CCM Au Anaua Upinzani?. Tunaelekea Nchi ya Chama Kimoja?.
Nini Mustakabali wa Upinzani TZ?
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Subiria matokeo ya vikao vya uteuzi.
P
Apate wapi huyo, labda za kuchorwa.Nilikusikia unasema una million 100 nilicheka sana1[emoji23]
Kaka pascal ni ngumu sana kwa CCM kurudisha majimbo yote
Hali ya CCM ni mbaya sana, na Pamoja na Jitihada za Mtukufu Rais kumbambana na Ufisadi, Rushwa nk, lakini nachelea kusema kuwa HAKUBALIKI, sio ndani wala nje ya CCM, kwa jitihada alizozifanya mtukufu raisi ule uchaguzi wa madiwani wala CCM wasingefanya kampeni, lakini matokeo yake nguvu kubwa sana imetumika
Kwa nini nasema ni Vigumu CCM kurudisha majinbo
1: Mtukufu Rais itambidi apambane sana na Hali yake, uoinzani kutoka chamani na nje, so hatakiwa na muda wa kuwaangalia watu wa chini kama aliokuwa nao sasa
2: uchaguzi wa Zanzibar, msimu uliopita Lowassa aliwababaisha sana ikafikia kipindi wakaisahau Zanzibar na hatimae Hamad akajitangaza Mshindi (Asante Jecha), so uchaguzi ujao CCM hawawezi kamwe kuisahau Zanzibar
3: Chadema sasa ina Wapenzi wa chama waliopo Royal kwa kiasi fulani, na tunalipima hilo kwa sababu pamoja na kuondoka kwa Zitto, Slaa nk, bado Chadema iliweza kujikusanyia Wabunge wengi zaidi, na Madiwani wengi mpaka kupelekea kushika baadhi ya Halmashauri kwenye miji mikubwa
Mkuu Mliberali, trends za 2020 kwa huku bara, zinaelekeza ni CCM only and only CCM!.Hao watu waadilifu na wazalendo ili kulitumikia taifa option Ni kugombea kupitia CCM tu,? Vyama vingine vipi? Au umekariri ya mfumo wa chama kimoja
Hujiulizi kwa nini mpaka sasa majina hayajatoka ? Wakipigwa chini unapata faida gani ? Ambayo huna ?Mkuu Mliberali, trends za 2020 kwa huku bara, zinaelekeza ni CCM only and only CCM!.
Hata vigogo wa upinzani ikiwemo ile mibuyu, inapigwa chini!.
P
Bandiko hili ni angalizo nililitoa kitambo, kuwa wanaohamia CCM wasibezwe!. Makamanda waliokuwa Chadema na kuhamia CCM sasa ndio wanakwenda kuwa mwiba kwa upinzaniKuna hali ngumu sana hapa Hai, Madiwani wote waliokuwa Chadema wamehamia CCM na wamepitishwa kugombea.
Ofisi za Chadema Hai zimegeuka kuwa ofisi za CCM na wana Hai tayari wameaminishwa kuwa shida zao zote zimetokana na Mbowe, kwa Upoyoyo wa wananchi wa Hai tayari wanaamini hivyo.
Mbaya zaidi, hatujui Magufuli amewaaminisha nini matajiri wa KiMachame karibu wote wamehamia CCM. Na imekuwa taabu hata michango ya kampeni CCM wako njema sana na Chadema 'Kamanda komaa'
Wagombea wa Chadema ni dhaifu sana, ni kama chama kimejitayarisha kushindwa, Wagombea wa CCM wametayarishwa,wanaaminiwa na wanaheshimika na jamii hata kabla ya kugombea Udiwani.
UCHAGUZI MGUMU SANA, LAZIMA MBOWE UJE NA MFUMO MPYA WA KAMPENI AMBAO HAUJAWAHI KUTOKEA ILI USHINDI UPATIKANE.