Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwanza wanachelewa kuamka kwenda kazini.
Pili, ving'ora na usumbufu mwingi kwa kelele barabarani.
Tatu wanapita hata sehemu za barabara zisizoruhusiwa kupita magari na hivyo kubomoa, mfano sehemu za waenda kwa miguu.
Hili nimelishuhudia leo asubuhi Service road Bagamoyo road asubuhi ya leo, Traffic wakiwaona wanakenua tu.
Inabidi IGP mwenyewe asimame barabarani kama Traffic.