Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwahiyo?Hayo matuta wanayoweka barabarani.
Watu wakifikia umri mkubwa wataumwa sana migongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo?Hayo matuta wanayoweka barabarani.
Watu wakifikia umri mkubwa wataumwa sana migongo.
Kodi yako ingekuwa inawanunulia Vitz au Starlet si ungetamba?Wakati mwingine inategemea na aina ya gari,
Vitz au starlet haiwezi panda tuta Hilo hata kama imedhamiria kuharibu miundombinu !!
Ushamba ni mzigo.vVongozi uchwala wanapaswa kuzingatia taratibu za matumizi ya barabara bila kujiona juu ya sheria.
Na wewe ni mharibifu kama hao kwanini umeficha namba za gari?
Kwanza wanachelewa kuamka kwenda kazini.
Pili, ving'ora na usumbufu mwingi kwa kelele barabarani.
Tatu wanapita hata sehemu za barabara zisizoruhusiwa kupita magari na hivyo kubomoa, mfano sehemu za waenda kwa miguu.
Hili nimelishuhudia leo asubuhi Service road Bagamoyo road asubuhi ya leo, Traffic wakiwaona wanakenua tu.
Inabidi IGP mwenyewe asimame barabarani kama Traffic.
Mwenyewe asije niwekea wanted!!Na wewe ni mharibifu kama hao kwanini umeficha namba za gari?
Mvunja nchi ni mwananchi mwenyewe!
Kwanza wanachelewa kuamka kwenda kazini.
Pili, ving'ora na usumbufu mwingi kwa kelele barabarani.
Tatu wanapita hata sehemu za barabara zisizoruhusiwa kupita magari na hivyo kubomoa, mfano sehemu za waenda kwa miguu.
Hili nimelishuhudia leo asubuhi Service road Bagamoyo road asubuhi ya leo, Traffic wakiwaona wanakenua tu.
Inabidi IGP mwenyewe asimame barabarani kama Traffic.
Kweli mkuu.Mvunja nchi ni mwananchi mwenyewe!
MODS wamefanya ustaarabu wa kuwahifadhi, nafikiri MODS wanamjua fika huyo kiongozi.Kwanini umeziba number plate?
What if Kiongozi hayupo kwenye gari wakati huo?Kutaja viongozi ni kuwahifadhi tu mkuu.
Gari ya 2024 ina number plate ya mwaka 2006, ni mgeni tu DSM asiyejua hao ni nani!
Ikulu inabaki kuwa Ikulu, hata Kiongozi akisafiri.What if Kiongozi hayupo kwenye gari wakati huo?
Du....!Mimi mbona mara nyingi tu tumesimamishwa kwa muda halafu inapita gari ya Mondi au Mwamposa
Hao traffic wana namba zao wakipigiwa tu, wanasimamisha hata morocco road yote
Wamejaa tele barabarani!Du....!
Polisi mpoo!!!