Wanaoharibu miundombinu yetu ya barabara ni viongozi wetu, tazama hii!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594


Kwanza wanachelewa kuamka kwenda kazini.

Pili, ving'ora na usumbufu mwingi kwa kelele barabarani.

Tatu wanapita hata sehemu za barabara zisizoruhusiwa kupita magari na hivyo kubomoa, mfano sehemu za waenda kwa miguu.

Hili nimelishuhudia leo asubuhi Service road Bagamoyo road asubuhi ya leo, Traffic wakiwaona wanakenua tu.

Inabidi IGP mwenyewe asimame barabarani kama Traffic.
 
Hii nchi kuna mambo mengi sana ya hovyo.

Too many to list.

Kama kuna ambayo siyo ya hovyo ni ya kuhesabika sana.

Mfano issue kama hii ni ya kawaida kabisa hapa bongo. Vijibosi tu vya serikali kujitanua kwa dharau wakitumia kodi zetu ni kama jadi tu.
 
Upande mwingine ni ushamba wa madaraka!
 
Ushamba unawasumbua viongozi wengi, madereva wao na hata katika picha unaona dereva wa daladala linatanua sawa na huyo kiongozi.
 
Hiyo picha inahusiana na Viongozi kiaje sasa?
 
wao wako juu ya sheria
 
Wakati mwingine inategemea na aina ya gari,

Vitz au starlet haiwezi panda tuta Hilo hata kama imedhamiria kuharibu miundombinu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…