jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,715
Sijakuelewa smh maana yake nini kwa kiswahili fasaha?
Smh =shaking my head ( KaMa kutingisha kichwa ile ya hapana).... Kama alama ya kutokubaliana na alichosema mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa smh maana yake nini kwa kiswahili fasaha?
Kwaio mkuu hii simu inakua haijatumika kabisa hata kidogo, huko marekani wala uingereza i.e brand new kabisa au? Ni refurbished?XR 64GB 1,295,000 Tsh na XR 128GB ni 1,370,000 tsh. Karibu sana
Kwaio mkuu hii simu inakua haijatumika kabisa hata kidogo, huko marekani wala uingereza i.e brand new kabisa au? Ni refurbished?
Kwaio utaratibu upo vipi wa kuagiza hizo simu mfano Iphone XR mimi napenda iwe ya china sababu nasikia zina line 2..physical sim cardsNi mpya, haijatumika na sio refurb.
Sio Refurbished, usipotoshe biashara. Cheap haimanishi ni refurb , chaneli yetu ya biashara ni fupi ndio maana hatuna bei ulizozizoea wewe.
Usijitie mjanja wewe iphone xr 64gb ni dollar 750 apple store ya Marekani. Wewe yako unasema 1.2mil kitu ambacho si kweli. Kubali ni refurbished
Kula hiyo 650k tufanye biasharaHapana, A70 goes by 700,000 tzs.
OKactually bei zipo apple website’s be it ya US, ya china, na ziko wazi kabisa.
say iphone 6, maduka ya authorized resellers hakuna tena, probably hakuna any NEW iphone 6 left in any shop by now..
eti new, boxed and sealed.. si aseme tu refurbished, and people will still buy anyway!