KERO Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike, mwezi mzima mnara hausomi

KERO Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike, mwezi mzima mnara hausomi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jan 30, 2024
Posts
13
Reaction score
2
Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪.

unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa .

Wakati nishati ya umeme ipo karibu hapo au waweke nishati mbadala ili mawasiliano yawe ya uakika
 
Unasema Hii kampuni ya TTCL .Kitendo cha kupata fiber nimechukua mwaka na miezi 3
 
Hyo ndio namna ya kuripoti tatizo

Taja ...mkoa
Wilaya
Kata
Kijiji

Hii itasaidia wahusika kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom