Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪.
unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa .
Wakati nishati ya umeme ipo karibu hapo au waweke nishati mbadala ili mawasiliano yawe ya uakika