Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Ukienda leo uwanja wa mpira wa miguu, unapokaribia tu kumaliza ngazi, ili uingie uwanjani, unakaribishwa na harufu mbaya ya vyoo.
Ukiingia huko vyooni hasa vyoo vya kiume ambavyo mimi ni mdau, hali inatisha, vyoo vimeziba mkojo umejaa kwe ule mfereji wa kukojolea, yaani ukichota waweza pata ndoo hata nane za mkojo.
Ni aibu gani mkojo wa mwezi uliopita unaukuta mwezi mwingine, alafu kuna watu wa mataifa mbalimbali wanaingia na wanavitumia hivi vyoo, wanaenda kutangaza aibu yetu kwao.
Ivi kweli serikali imeshindwa kumtafuta mzabuni wa kufanya usafi vyooni kwa siku za mechezo tu, usafi kabla mchezo na baada ya mchezo. Kuna siku nimeingia pale, nikakuta chipi imetelekezwa, inaonyesha jamaa alishikwa na tumbo la kuhara akakimbilia huko, baada ya msada akagundua maji hakuna akajisafisha kwa kutumia ile chupi.
TFF nanyi niwaombe muisukume serikali kujali afya za wateja wenu, vumbi la kwenye huwa tunakuja na leso zetu ila huko vyooni kumetushinda, nimegundua kwanini watu hutemka kwenda kojoa nje hasa kwenye fensi ya upande wa kasikazini, niishie kwa kumuomba waziri wa michezo hapo VIP vyoo hufanyiwa usafi, basi ufike huku kwetu uone hali ilivyo, ivi si tu nalipa viingilio lakini?