enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Najua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa!
Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa kiasi kilekile mpaka saa hizi saa tano asubuhi haijakata iliwahi kunyesha lini??
Nitoeni hofu nimeanza kuogopa! Mvua kubwa inanyesha kwa masaa kumi mfululizo! Wazee wetu toeni neno!