Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

Mungu anataka mjue kuwa yupo.

Kuna miaka 7 ya kipigo Kwa Dunia nzima,

Na 2024 ndio mwaka wa kwanza, Bado miaka SITA .

Wote tunatakiwa kumrudia Mungu Kwa KUFUNGA na kuomba na kutubu

UBARIKIWE
Mjinga kabisa wewe 😀
 
Shukran nyingi zimrudie mama kwa kutufikisha hapa...🤣
 
Usiku wa kuamkia mechi ya Derby ambayo Simba alifungwa magoli matano, ilinyesha mvua kubwa zaidi ya hii na ilisimama jioni.

wengi wanaoishi zanzibar kwa siku ile hawakubahatika kuiangalia live mechi ile kwa sababu umeme ulizimwa kwa muda mrefu, hii ya leo hata umeme haujazimwa.

Relax
Good boy
 
Nendeni mkajikinge mchamba wima hainyeshi
..
 
Wekeni ubalozi huku Dar muwe mnatoa VISA mkusanye tozo.
Tutakua tunakwenda Buguruni mnyamani kwenye ubalozi wa Zanzibar kupanga foleni ya VISA.
kwani buguruni si bado inakuwa ipo bara!!? Sijui kwanini muasisi hakutuunganisha hata na rwanda kuliko huko kwenye maji
 
Back
Top Bottom