Dar ilianza muda huo na mpaka sasa inanyesha ila haikuwa kubwa na bado sio kubwa,kumbe tunapata mabaki ya kutoka Visiwani.Ingekuwa kwa ukubwa huo nina hakika mafuriko yangekuwa makubwa zaidi ya juzi.Najua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa!
Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa kiasi kilekile mpaka saa hizi saa tano asubuhi haijakata iliwahi kunyesha lini??
Nitoeni hofu nimeanza kuogopa! Mvua kubwa inanyesha kwa masaa kumi mfululizo! Wazee wetu toeni neno!
Huku bila pasipoti hatuwaruhusu mjeHapanaaa, serikali ya muunganooo ituangalieee, ituhamishie baraaa, huku twaweza kufitikaaa
😁 😁Hapanaaa, serikali ya muunganooo ituangalieee, ituhamishie baraaa, huku twaweza kufitikaaa
poleni sana ila mim.naona afadhali kidogo ya Mvua za pwani hazina Radi sana kama.Mvua zile zinazonyesha nyanda za juu kusuni Mvua inapiga na Radi juu tena hakuna mapumziko laiti kama mvua zile zinazonyeshaga nyanda za juu kusuni zingekua zinashea ukanda huu wa pwani sizani had leo kungekua na kituNajua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa!
Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa kiasi kilekile mpaka saa hizi saa tano asubuhi haijakata iliwahi kunyesha lini??
Nitoeni hofu nimeanza kuogopa! Mvua kubwa inanyesha kwa masaa kumi mfululizo! Wazee wetu toeni neno!
NakaziaAhsante sana mama kwa kuupiga mwingi.
Hii mvua bila mama isinge kuwepo
Hii naikumbuka, lakini ilikuwa inapumzika na kama unakumbuka haikunyesha kwa masaa kumi mfululizo!Usiku wa kuamkia mechi ya Derby ambayo Simba alifungwa magoli matano, ilinyesha mvua kubwa zaidi ya hii na ilisimama jioni.