Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

Mungu anataka mjue kuwa yupo.

Kuna miaka 7 ya kipigo Kwa Dunia nzima,

Na 2024 ndio mwaka wa kwanza, Bado miaka SITA .

Wote tunatakiwa kumrudia Mungu Kwa KUFUNGA na kuomba na kutubu

UBARIKIWE
Mjinga kabisa wewe πŸ˜€
 
Shukran nyingi zimrudie mama kwa kutufikisha hapa...🀣
 
Good boy
 
Nendeni mkajikinge mchamba wima hainyeshi
..
 
Wekeni ubalozi huku Dar muwe mnatoa VISA mkusanye tozo.
Tutakua tunakwenda Buguruni mnyamani kwenye ubalozi wa Zanzibar kupanga foleni ya VISA.
kwani buguruni si bado inakuwa ipo bara!!? Sijui kwanini muasisi hakutuunganisha hata na rwanda kuliko huko kwenye maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…