Wanaoingia madarakani Syria ndio watakaosaidia utetezi kwa Wapalestina na kuiondoa madarakani serikali ya Netanyahu

Wanaweza wakawa sio vibaraka ila Israeli inaweza ikanufaika na wao kuongoza Syria, 1. Itaifanya Israeli iwe na uhuru wa kijeshi juu ya Syria kwa vigezo vya kushindana na magaidi 2. Itairuhusu serikalini ya Israeli kuchukua maeneo zaidi ili kutengeneza buffer zone na magaidi kitu ambacho isingeweza kufanya kwa serikali ya Assad bila kupata vikwazo vya UN
 
Unaweweseka Sasa na bado. Wewe Russia toka lini kaipiga Syria ili kumtoa Assad? . Mpaka useme Russia kashiriki kumtoa Assad?
Soma vizuri andiko langu, hakuna nulipoandika hivyo. Nilichoandika ni hiki: "Hujui kuwa aliyewawezesha waasi kumtoa Assad ni Uturuki, na aliyembakiza madarakani Assad mpaka sasa ni Uturuki na Russia."

Assad ilikuwa anatoka baada ya vita vilivyoanza mwaka 2015 vikianzishwa na vikundi tofauti, lakini kikubwa kilikuwa kile kilichojulikana kama 1SIS. Vita ikazimwa baada ya Uturuki na Russia kumsaidia Assad. Na ndio ilikuwa usalama wake wakati ule. Nafikiri utanielewa, zingatia alama koma, pale penye kumtoa na kumbakiza.
 
Hawa ni hatari kuliko Assad. Mashariki ya kati hawafikiri kama sisi Afrika. Israel ndio iliyoiunda HAMAS. Haya imekuwaje? Tena wao wanabadili chupa tu lakini mvinyo ni uleule. Wenzetu utawatumia kama toilet papper, lakini kabla hujaitupa chooni kimiujiza inabadilika kuwa Chandy au Nelkon au shaaban Robert au Joka la mdimu.

Uzuri wa Assad kwa Israel ni kuwa, aliruhusu mgawanyiko wa nchi kutokana na makabila, dini na madhehebu. Hii iliwaruhusu wa- Israel kuwa na vikundi vingi ilivyovisaidia katika kuleta chokochoko ndani ya Syria kikiwepo kile kikubwa cha wa-kurdi ambacho kilijitangazia uhuru katika maeneo yao. Kwa muujibu wa utawala mpya hiki kikundi kitasambaratishwa na kuwa na Syria moja. Hili ni Pigo kubwa kwa Israel. Ndio maana sasa hivi anahaha kuipiga Syria. Hakuna mwenye haraka naye. Wanajipanga kwanza, kuwasambaratisha Wa-kurdi kwanza na vikundi vingine.
Msiwe na papara, subira ni muhimu.
 
Israeli ameunda Hamas kweli, na licha ya kuwa na intelligence kua Hamas watashambulia kutoka kwa Shin Bet, Mossad na Serikali ya Egypt waliamua kuachilia itokee , kwa upande mmoja unaweza ukasema wamefail. Kwa upande mwingine unagundua kuwa serikali ya Israeli haina uhuru wa kukalia ardhi wanayoitawala waarabu bila kuwa na ushahidi kuwa wanapambana na ugaidi, Israeli inakua na uhuru wa kupitiliza kugawala au kufanya opatation zake Gaza kwa sababu dunia inajua inadeal na Hamas, Lebanon kwa sabab Hezbollah walishabulia Israeli bila kuchokozwa directly, Iran kwa sababu walishambulia Israeli directly na kesho Israeli akifanya operation atasema ni operation ya kujihami, Syria kwa sabbu Israeli wala UN haiwez kuwa na mkataba na kikosi cha kigaidi...hii yote inanifanya Israeli itengeneze adui inayoweza kummudu na kwa hisani ya umoja wa mataifa ikatiza malengo yake ya Greater Israeli
 
Huyo aliyemtoa Assad, akicheza vibaya kidimbwi inamuondoa na yeye pia kama yule wa Egypt aliyefia gerezani
 
Nimecheka hadi nimeshindwa kuendesha azana hapa msikiti wa shehe tumbo. Yani tangu saa 7 nacheka mpaka sasa hivi.

Shehe wangu wewe ni comedian kwa asili, vaa kobazi nenda THT sijui bado ipo au ilikufa na Ruge.
 
Halafu wamekaa kimya tu isreil anaendele kuchukua maeneo na kuna siku ataichukua damaskasi yote wao wakiwa hapo na mabunduki yao
Mnaikuza mno Israel sehemu ambayo hawezi kufikia.
Amepanua wigo wa maadui wakati mwenyewe amebakiwa na nguvu za kijeshi la anga tu ambalo nalo huko mbeleni litaishiwa na makombora ya kulenga.
Akielekeza nguvu kubwa sehemu yoyote ile sehemu zitakazobaki watachukua fursa kujiunda upya.
Kumbuka Israel imepata hasara kubwa ya vifo na majeruhi Gaza na Lebanon.Na kumbuka zaidi kuwa vijana wengi wa kiyahudi hawako tayari kwenda mstari wa mbele.
 
Wengi wanaangalia kijuu juu.Kwa kweli kilichotokea Syria hao Israel pamoja na intelijensia yake hawakukifikiria.Waasi walipokuwa wanateremka Damascus kulikuwa na mapigo mengi kutoka kwa jeshi la Syria na Urusi lakini wote hawakuweza kuwa na nguvu ya kuwazuia.
Siku kama hiyo si ajabu kuitokea Israel wakati Hizbullah na Hizbu Tahrir kila mmoja akimiminikia mipakani mwa Israel na usiwawache nyuma Hamas ambao wana hasira mno na maumivu waliyoyapata.
 
Israeli ameunda Hamas kweli, ............
MADRID, Jan 197/2024 (Reuters) - EU foreign policy chief Josep Borrell said on Friday that Israel had financed the creation of Palestinian militant group Hamas, publicly contradicting Prime Minister Benjamin Netanyahu who has denied such allegations.
Opponents of the Israeli government and some global media have accused Natanyahu governments of boosting Gaza rulers Hamas for years......
"Yes, Hamas was financed by the government of Israel in an attempt to weaken the Palestinian Authority led by Fatah," Borrell said in a speech in the University of Valladolid in Spain without elaborating
Chanzo: https://www.reuters.com/world/europ...nanced-creation-gaza-rulers-hamas-2024-01-19/


For years, Netanyahu propped up Hamas. Now it’s blown up in our faces​

The premier’s policy of treating the terror group as a partner, at the expense of Abbas and Palestinian statehood, has resulted in wounds that will take Israel years to heal from​

For years, the various governments led by Benjamin Netanyahu took an approach that divided power between the Gaza Strip and the West Bank — bringing Palestinian Authority President Mahmoud Abbas to his knees while making moves that propped up the Hamas terror group.

The idea was to prevent Abbas — or anyone else in the Palestinian Authority’s West Bank government — from advancing toward the establishment of a Palestinian state.

Thus, amid this bid to impair Abbas, Hamas was upgraded from a mere terror group to an organization with which Israel held indirect negotiations via Egypt, and one that was allowed to receive infusions of cash from abroad.
Chanzo: https://www.timesofisrael.com/for-years-netanyahu-propped-up-hamas-now-its-blown-up-in-our-faces/

Haya si maneno yangu ni yao wenyewe EU na Magazeti ya Israel. Walitaka kutumia mbinu ya kisomi - Divide and rule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…