BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Endelea kuotaHana dozi kwa watu wote.Ataishiwa halafu atapewa dozi yake mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuotaHana dozi kwa watu wote.Ataishiwa halafu atapewa dozi yake mwenyewe
Wanaweza wakawa sio vibaraka ila Israeli inaweza ikanufaika na wao kuongoza Syria, 1. Itaifanya Israeli iwe na uhuru wa kijeshi juu ya Syria kwa vigezo vya kushindana na magaidi 2. Itairuhusu serikalini ya Israeli kuchukua maeneo zaidi ili kutengeneza buffer zone na magaidi kitu ambacho isingeweza kufanya kwa serikali ya Assad bila kupata vikwazo vya UNSiku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Soma vizuri andiko langu, hakuna nulipoandika hivyo. Nilichoandika ni hiki: "Hujui kuwa aliyewawezesha waasi kumtoa Assad ni Uturuki, na aliyembakiza madarakani Assad mpaka sasa ni Uturuki na Russia."Unaweweseka Sasa na bado. Wewe Russia toka lini kaipiga Syria ili kumtoa Assad? . Mpaka useme Russia kashiriki kumtoa Assad?
Hawa ni hatari kuliko Assad. Mashariki ya kati hawafikiri kama sisi Afrika. Israel ndio iliyoiunda HAMAS. Haya imekuwaje? Tena wao wanabadili chupa tu lakini mvinyo ni uleule. Wenzetu utawatumia kama toilet papper, lakini kabla hujaitupa chooni kimiujiza inabadilika kuwa Chandy au Nelkon au shaaban Robert au Joka la mdimu.Wanaweza wakawa sio vibaraka ila Israeli inaweza ikanufaika na wao kuongoza Syria, 1. Itaifanya Israeli iwe na uhuru wa kijeshi juu ya Syria kwa vigezo vya kushindana na magaidi 2. Itairuhusu serikalini ya Israeli kuchukua maeneo zaidi ili kutengeneza buffer zone na magaidi kitu ambacho isingeweza kufanya kwa serikali ya Assad bila kupata vikwazo vya UN
Israeli ameunda Hamas kweli, na licha ya kuwa na intelligence kua Hamas watashambulia kutoka kwa Shin Bet, Mossad na Serikali ya Egypt waliamua kuachilia itokee , kwa upande mmoja unaweza ukasema wamefail. Kwa upande mwingine unagundua kuwa serikali ya Israeli haina uhuru wa kukalia ardhi wanayoitawala waarabu bila kuwa na ushahidi kuwa wanapambana na ugaidi, Israeli inakua na uhuru wa kupitiliza kugawala au kufanya opatation zake Gaza kwa sababu dunia inajua inadeal na Hamas, Lebanon kwa sabab Hezbollah walishabulia Israeli bila kuchokozwa directly, Iran kwa sababu walishambulia Israeli directly na kesho Israeli akifanya operation atasema ni operation ya kujihami, Syria kwa sabbu Israeli wala UN haiwez kuwa na mkataba na kikosi cha kigaidi...hii yote inanifanya Israeli itengeneze adui inayoweza kummudu na kwa hisani ya umoja wa mataifa ikatiza malengo yake ya Greater IsraeliHawa ni hatari kuliko Assad. Mashariki ya kati hawafikiri kama sisi Afrika. Israel ndio iliyoiunda HAMAS. Haya imekuwaje? Tena wao wanabadili chupa tu lakini mvinyo ni uleule. Wenzetu utawatumia kama toilet papper, lakini kabla hujaitupa chooni kimiujiza inabadilika kuwa Chandy au Nelkon au shaaban Robert au Joka la mzimu.
Uzuri wa Assad kwa Israel ni kuwa, aliruhusu mgawanyiko wa nchi kutokana na makabila, dini na madhehebu. Hii iliwaruhusu wa- Israel kuwa na vikundi vingi ilivyovisaidia katika kuleta chokochoko ndani ya Syria kikiwepo kile kikubwa cha wa-kurdi ambacho kilijitangazia uhuru katika maeneo yao. Kwa muujibu wa utawala mpya hiki kikundi kitasambaratishwa na kuwa na Syria moja. Hili ni Pigo kubwa kwa Israel. Ndio maana sasa hivi anahaha kuipiga Syria. Hakuna mwenye haraka naye. Wanajipanga kwanza, kuwasambaratisha Wa-kurdi kwanza na vikundi vingine.
Msiwe na papara, subira ni muhimu.
Nimecheka hadi nimeshindwa kuendesha azana hapa msikiti wa shehe tumbo. Yani tangu saa 7 nacheka mpaka sasa hivi.Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si vibaraka wa Marekani wala wa Israel.
Mataifa hayo mawili inaonekana yalipigwa chenga sana na harakati za wapinzani hao wa Syria ijapokuwa malengo ya harakati hizo hayajawekwa wazi sana.
Ujumbe wa mwanzo alioutoa Abu Muhammad Aljolan ndani ya msikiti wa Ummayad unamuonesha kiongozi huyo si mtu wa visasi na amekusudia kuijenga upya Syria,Wakati huo huo hajatoa dalili yoyote ya kukubaliana na baadhi ya mambo ambayo yanafanywa na nchi za Marekani na Israel ndani ya ardhi ya Syria.
Mwanzoni Israel ilitumai kuondolewa kwa Bashar kutakuwa kumewalemaza Hizbullah na kwamba itakuwa imepata mteremko katika vita vyake na Lebanon,Lakini mbinu iliyotumika Gaza kuundwa umoja wa vyama kupigana na Israel unaweza ukatumika baina ya wapiganaji wa Hizbu Tahri na wenzao kuwaunga mkono Hizbullah kuendeleza vita na Israel.
Hali hiyo ni uchuro kwa Israel na inakera kuisikia lakini ndio itakayoiondolea Israel kuwa kijogoo wa mashariki ya kati.
Mtazamo huo tayari umeishtua Israel ambapo tangu juzi imekuwa ikipiga na kuharibu mali na miundombinu ya kijeshi ya Syria jambo ambalo tangu siku ya mwanzo Aljolani amelikataza na kulilani kufanywa na wapiganaji wake.
Mnaikuza mno Israel sehemu ambayo hawezi kufikia.Halafu wamekaa kimya tu isreil anaendele kuchukua maeneo na kuna siku ataichukua damaskasi yote wao wakiwa hapo na mabunduki yao
Wengi wanaangalia kijuu juu.Kwa kweli kilichotokea Syria hao Israel pamoja na intelijensia yake hawakukifikiria.Waasi walipokuwa wanateremka Damascus kulikuwa na mapigo mengi kutoka kwa jeshi la Syria na Urusi lakini wote hawakuweza kuwa na nguvu ya kuwazuia.Israeli ameunda Hamas kweli, na licha ya kuwa na intelligence kua Hamas watashambulia kutoka kwa Shin Bet, Mossad na Serikali ya Egypt waliamua kuachilia itokee , kwa upande mmoja unaweza ukasema wamefail. Kwa upande mwingine unagundua kuwa serikali ya Israeli haina uhuru wa kukalia ardhi wanayoitawala waarabu bila kuwa na ushahidi kuwa wanapambana na ugaidi, Israeli inakua na uhuru wa kupitiliza kugawala au kufanya opatation zake Gaza kwa sababu dunia inajua inadeal na Hamas, Lebanon kwa sabab Hezbollah walishabulia Israeli bila kuchokozwa directly, Iran kwa sababu walishambulia Israeli directly na kesho Israeli akifanya operation atasema ni operation ya kujihami, Syria kwa sabbu Israeli wala UN haiwez kuwa na mkataba na kikosi cha kigaidi...hii yote inanifanya Israeli itengeneze adui inayoweza kummudu na kwa hisani ya umoja wa mataifa ikatiza malengo yake ya Greater Israeli
MADRID, Jan 197/2024 (Reuters) - EU foreign policy chief Josep Borrell said on Friday that Israel had financed the creation of Palestinian militant group Hamas, publicly contradicting Prime Minister Benjamin Netanyahu who has denied such allegations.Israeli ameunda Hamas kweli, ............