Hivi kuna mtu anapinga chanjo?, Au anashauri ipatikane iliyothibitishwa ni bora zaidi, kuliko sasa ni nyingi hata nyungu zetu tunaweza sema ni kundi la chanjo
Wa hapa anapinga chanjo. Kumbuka hajui hata kama tuna janga. Mengine unyosikia toka kwake ni janja zake tu.
Walisema akufukuzaye hakwambii toka!
Yeye anajua yu anapigwa vita vya kiuchumi.
Au nasema uongo ndugu zangu?