Hivi kuna mtu anapinga chanjo?, Au anashauri ipatikane iliyothibitishwa ni bora zaidi, kuliko sasa ni nyingi hata nyungu zetu tunaweza sema ni kundi la chanjo
It's okay...should be optional.Hii itakuja kuwa kama Yellow fever tu
Hupandi pipa.,
badae tutakubali tu
Mhh i doubt kama itakuwa hivyo.,It's okay...should be optional.
Kwahio unafikiri utalazimisha kila raia achanjwe? Wengine hawataki hata US,UK etc sio kila raia anakubali hizo chanjo. Kama ni lazima uchanjwe kuingia nchi fulani na unataka kuingia huna namna kama ilivyo hio ya yellow fever ni wasafiri tu ndio lazimaMhh i doubt kama itakuwa hivyo.,
na misaada hii tunayopewa hehe
Kwa wasafiri yes mandatory.,Kwahio unafikiri utalazimisha kila raia achanjwe? Wengine hawataki hata US,UK etc sio kila raia anakubali hizo chanjo. Kama ni lazima uchanjwe kuingia nchi fulani na unataka kuingia huna namna kama ilivyo hio ya yellow fever ni wasafiri tu ndio lazima
Kwahio unachosema ni kwamba wanatuletea ugonjwa makusudi ili wauze chanjo?Kwa wasafiri yes mandatory.,
Ni kweli kuna resistance hata huko ila kwa jinsi ugonjwa ulivyowatesa wazungu recently, am convinced wataishukia Africa kama mwewe!
Ama watapiga variant mpya hadi akili zitukae sawa
Conspiracy theorists would say yes.,but even normal people km sie buy the logic somehow...Kwahio unachosema ni kwamba wanatuletea ugonjwa makusudi ili wauze chanjo?
Niende nikachanjwe wapi wakati mzee meko kakataa kuipokea? Hata nikienda Kenya bado mm simo katika bajeti
I see.Wewe chanjwa, wasiotaka kuchanjwa waache wafe. Wataisha mtabaki mliochanjwa.
Mungu huchagua hayo uyaitayo mataputapu kuwaaibisha ninyi werevu.Tulikosea sana kama Taifa kuweka mataputapu madarakani.
Mbona tena anawaaibisha wao kwa kuwaua kwa Corona?Huyo Mungu ameshindwa kuwalinda wateule wake?Mungu huchagua hayo uyaitayo mataputapu kuwaaibisha ninyi werevu.
Nchi za EU zimeagizwa kuharakisha sheria itakayoingiza cheti cha chanjo ya Corona km qualification ya kuingia kwao ,hii ina maana mtu asiye chanjwa hataruhusiwa kukanyaga ulaya na UturukiUmeona sasa, Saudia wanasema kama mtu hana chanjo ya Covid-19 hakuna kwenda kuhiji. Pigo la kwanza kwa Wananchi wetu waislamu.
Unasema achanjwe hiyo chanjo ukowapi?Wewe chanjwa, wasiotaka kuchanjwa waache wafe. Wataisha mtabaki mliochanjwa.
This is how it's supposed to be.Nimeona Kenya tayari, Leo wameipata chanjo nimepanda waziri wa afya wao alisema chanjo hailazimishwi ukitaka unachanjwa usipotaka uchanjwi. FULLSTOP
Kama unahitaji kuingia nchi fulani lazima ufuate masharti yao. Wakisema lazima chanjo ndio uingie na ni lazima kuingia huna budi kuchanja.Nchi za EU zimeagizwa kuharakisha sheria itakayoingiza cheti cha chanjo ya Corona km qualification ya kuingia kwao ,hii ina maana mtu asiye chanjwa hataruhusiwa kukanyaga ulaya na Uturuki
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Imeandikwa Usilitaje jina la bwana Mungu wako bure. Mungu hakai kwenye baraza la wenye mizaha.Mungu huchagua hayo uyaitayo mataputapu kuwaaibisha ninyi werevu.