Wanaoiponda IFM ni wendawazimu!


Kaka nimekuelewa but unavyosema institute haiwezi kuwa sawa na university nakupinga, kama unabisha I google hiyo Massachustess institute of technology kwenye ranking yeyote huone balaa lake, yaani hapo havard, yale, oxford wanakaa nyuma, hiyo kitu sio mchezo, tena narudia sio mchezo ukitaja hilo jina chuo chochote dunian kinakuangalia mara 2, hebu google kwanza utaelewa MIT ni nini
 
IFM siyo "Chuo" ni "Taasisi"...! Kwahiyo inaweza kulinganishwa na Taasisi nyingine kama vile "Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima"...e.t.c..

yan we ndo king kilaza unalinganisha taasisi ya elim kwa watu wazima na IFM du jipange mkuu
 
Naipa shavu UDOM because ni chuo kichanga ila as time goes it becoming popular, tatizo ni uongozi ndio unakiangusha chuo hiki.

One Qn. NANI AMBAE HAIPENDI UDSM KUTOKA MOYONI MWAKE?? 90% of Form six Leaver they admirer it
 

samaki mmoja akioza m2pe baki na wengiwe wazma.xo dnt include all gals of IFM coz wengne wanajiheshimu sana 2.
 
nimeshaandika wosia mpaka wajukuu zangu wasisome pale. Maana nje ya nchi chuo hakitambuliki kile

ona hli ji2 nalo lisivyokuwa na uzalendo.kwan chuo kutambulika nje ya nchi ndo nn.ebu 2tajie majina ya vyuo vya nje unavyo vijua!
 
samaki mmoja akioza m2pe baki na wengiwe wazma.xo dnt include all gals of IFM coz wengne wanajiheshimu sana 2.
senyora what i have written is so obvious to some if not all IFM girls.sometimes truth hates when it is said.so eccept it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…