Wanaoiponda IFM ni wendawazimu!

Wanaoiponda IFM ni wendawazimu!

Kaka tunaongelea level ya Tanzania,ukisema USA unakuwa unafika mbali maana kwa wenzetu hata shule tu zinafanya ugunduzi mkubwa ambao haujawahi fanywa na university yeyote ya hapa bongo.In academic ranking point of view Institute haiwezi kuwa sawa na University.

Kaka nimekuelewa but unavyosema institute haiwezi kuwa sawa na university nakupinga, kama unabisha I google hiyo Massachustess institute of technology kwenye ranking yeyote huone balaa lake, yaani hapo havard, yale, oxford wanakaa nyuma, hiyo kitu sio mchezo, tena narudia sio mchezo ukitaja hilo jina chuo chochote dunian kinakuangalia mara 2, hebu google kwanza utaelewa MIT ni nini
 
IFM siyo "Chuo" ni "Taasisi"...! Kwahiyo inaweza kulinganishwa na Taasisi nyingine kama vile "Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima"...e.t.c..

yan we ndo king kilaza unalinganisha taasisi ya elim kwa watu wazima na IFM du jipange mkuu
 
Naipa shavu UDOM because ni chuo kichanga ila as time goes it becoming popular, tatizo ni uongozi ndio unakiangusha chuo hiki.

One Qn. NANI AMBAE HAIPENDI UDSM KUTOKA MOYONI MWAKE?? 90% of Form six Leaver they admirer it
 
rafiki yangu mmoja dalali wa kuuza magari ana-date na kasistaa duu kamoja ka-hapo IFM.anakapitia jioni na first destination yao ni bar/guest house flan hivi pale kinondoni.kwanza anakachapa na mchemsho wa ndizi+nyama/kuku then kinachofuata ni........chezea watoto wa kike wa IFM wewe.

samaki mmoja akioza m2pe baki na wengiwe wazma.xo dnt include all gals of IFM coz wengne wanajiheshimu sana 2.
 
nimeshaandika wosia mpaka wajukuu zangu wasisome pale. Maana nje ya nchi chuo hakitambuliki kile

ona hli ji2 nalo lisivyokuwa na uzalendo.kwan chuo kutambulika nje ya nchi ndo nn.ebu 2tajie majina ya vyuo vya nje unavyo vijua!
 
samaki mmoja akioza m2pe baki na wengiwe wazma.xo dnt include all gals of IFM coz wengne wanajiheshimu sana 2.
senyora what i have written is so obvious to some if not all IFM girls.sometimes truth hates when it is said.so eccept it.
 
Back
Top Bottom