MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Kaka tunaongelea level ya Tanzania,ukisema USA unakuwa unafika mbali maana kwa wenzetu hata shule tu zinafanya ugunduzi mkubwa ambao haujawahi fanywa na university yeyote ya hapa bongo.In academic ranking point of view Institute haiwezi kuwa sawa na University.
Kaka nimekuelewa but unavyosema institute haiwezi kuwa sawa na university nakupinga, kama unabisha I google hiyo Massachustess institute of technology kwenye ranking yeyote huone balaa lake, yaani hapo havard, yale, oxford wanakaa nyuma, hiyo kitu sio mchezo, tena narudia sio mchezo ukitaja hilo jina chuo chochote dunian kinakuangalia mara 2, hebu google kwanza utaelewa MIT ni nini