Wanaoishi kanuni ya Imani ya kikatoliki-Kadinali Protes Rugambwa

Wanaoishi kanuni ya Imani ya kikatoliki-Kadinali Protes Rugambwa

Hata ad. Mwabukusi alliyekuwa anatema moto dhidi ya serikali hivi sasa anatema pumba
Adv yeye si waliomba kukutana na samia kumfikishia salamu za wadau mbalimbali na ya kwao TLS,na wamefanikiwa kukutana na kumfikishia maoni ya wadau kama walivyoomba kukutana nao
Sasa anaongea pumba ipi tena?
 
Mbona umempenda ghafla?! Au amesimama wima na wahuni?
Huyu lazima atakuwa chawa wa Samia! Amempenda ghafla kadinali kwa vile hivi karibuni Alialikwa kwa mazungumzo na Samia huko Ikulu!
Lakini Rugambwa ha kukubali mu aliko wa kuhudhulia mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ccm!
 
Kitendo cha wewe kulete hapa jukwaa la siasa bila shaka utachafua image yake,maana umeleta baada ya yeye kukutana na Rais samia then unaleta pambio kwenye jukwaa la siasa
mada zangu zote huwa naziketa jukwaa hili
 
Back
Top Bottom