Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Sayansi na wanasayansi wa bongo ni nyoso sana.
Kiasi fulani siwalaumu hao wataalam wa TMA maana inawezekana wakawa wale tuliofanya nao practical za physics pindi tukiwa shule. Unapewa vifaa vya umeme uunganishe umeme, baada ya kuunga mshale unasoma negative voltage.
Kwahiyo inawezekana wana nia njema sema vifaa ndio vinawaangusha kwa uchakavu. Kwamba vifaa vimewaongopea badala ya mvua za vuli vimesoma TSUNAMI.
 
Mbona tangazo la tahadhari halitaji tarehe Inayotegemewa kutokea hiyo tsunami?
 
Kutisha WaTz, kuwafanya waoga ndio aina ya uongozi wetu, na wanaofanya haya huzawadiwa na mama yao.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mafia Iko Mkoa wa Pwani. Huko kwingine ulikotaa siyo Tanganyika. Ni nchi jirani huko na TMA yao.πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 

Tuone na source zingine zinasemaje

Mkuu nimepitia hapa nimeona only kuna mvua kubwa tu Somalia, Ethiopia ,Kenya kidogo,South Sudan na Uganda
Ila Tanzania ni kweupe kabisaa na hata mwezi wote wa kumi nimeona ni peupe sana... Mpaka mwezi wa 11 mwishoni ndo kuna mvua za vuli πŸ˜€πŸ˜€ Shukrani sana mkuu kwa hii tovuti hawa TMA sasa Bybye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…