dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
beach ya Sudi, Mongomongo na Madangwa auKuanzia leo siend Beach kunywa pombe wala kuita mzigo niunulilie bia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
beach ya Sudi, Mongomongo na Madangwa auKuanzia leo siend Beach kunywa pombe wala kuita mzigo niunulilie bia..
Sasa mantiki ya hili suala ni ipi? Washitakiwe kwa kusababisha hofu kwa jamiiHawajasema maana hawawez
Ndo kwanza bado breaking news Imetoka mchana kwenye daily presentation ya forecasting hivyo taarifa ya habari lazima isomweMbona hatujaona tahadhari kwenye vyombo vya habari
Wangekuwa chini ya Private sector ungeona hili likitokea au ungesikia wanasababisha Taharuki kwa jamii ila kwakuwa ni wa serkalini hutasikia hiloSasa mantiki ya hili suala ni ipi? Washitakiwe kwa kusababisha hofu kwa jamii
Mbona hatujaona tahadhari kwenye vyombo vya habari
Zitakuja uzi za maafa humu Jukwaani.
Ni akina nani ambao kila wanalolitabiri hutokea?K
Kipi waliwahi kutabiri kikatokea?
Upo sahihiItakuwa mazoezi ya kupima utayari wa vyombo vya uokozi na usalama
Hujawahi kuniangusha master.watoe tarehe niikache nyeto niunge vikojoleo
nisijekufa na utamu wangu
nijikinge na ngoma miaka yote nikose utamu halisia nije kufa na sunami kweliHujawahi kuniangusha master.
Hata mm nashangaa Yaani taarifa zao haziaminikiHivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..
View attachment 2785593
Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)
Walituambia elnino itaanza mwishoni mwa september, leo ni mid OctoberSiamini hizi mamlaka
Beach za rahaleo,magereza,mashujaa ndo hatari ziko attitude zake ziko below 0 au sio juu ya 4m elevation.beach ya Sudi, Mongomongo na Madangwa au
Itakua JF ina sub office dodomaAsa kama volcano itatokea na kwa bahati mbaya ikaiathiri daslam nzima na viunga vyake ambapo kuna headquarters na servers za jamiiforums.
Wazee wa threads si ndo basi tena
Yaani mvua huwa zinatisha mkuu mvua ya siku nne tu inatosha kuleta flood.Walituambia elnino itaanza mwishoni mwa september, leo ni mid October