Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Zitakuja uzi za maafa humu Jukwaani.
82zqwr.jpg
 
Itakuwa mazoezi ya kupima utayari wa vyombo vya uokozi na usalama kama vina rasilimali watu, zana na uwezo wa kuongoza maelfu ya watu kwenda sehemu salama kukitokea janga.

Satelaiti za Marekani zingeweza kutoa tahadhari ya kweli kuhusu tetemeko, volcano na mawimbi makubwa ktk tovuti yao kuhusu Afrika ya Mashariki na hususan maeneo ya Pwani ya mashariki iliyo mkabala na bahari ya Hindi.
 
Embu acheni ulimbukeni andikeni IOWave23 mtapata majibu. Ni simulations hizo kuna mtu alieleza hapo juu hamkuelewa. JF hii ya sasa kuna kizazi cha vilaza wengi sana. An Influx from Instagram and Facebook.
 
Hivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..

View attachment 2785593

Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)
Hata mm nashangaa Yaani taarifa zao haziaminiki
 
Back
Top Bottom