Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Kwanini mkuu
Kama zoezi linafanyika kwa community level ukiangalia kwa maeneo tajwa ambayo yangeathirika kulikuwa na utayari upi kwa vyombo husika na jamii kwa ujumla? Hata hapa comments zetu sisi wachangiaji wa mada ni kielelezo halisi cha response yetu sisi jamii kudhihirisha kwamba hatuna preparedness yoyote kukabiliana na janga hilo.
 
Beach plots leo zinakimbiwa, watu wamejaa mlimani City.
Masaki na Oysterbay kumekimbiwa.
 
Wamebadili Gia angani hao baada ya kuona sio kweli
 
 
Kwa kweli kwa wanaokula mishahara ya bure na marupurupu ni hawa jamaa wa TMA, kila tukio au taarifa ni fyongo kwa kwenda mbele. Labda tumpe DP WORLD.
 
Uzi wa kwako halafu unaufuatilia kwa wasiwasi. Hata hujui nani kasema au kauliza kipi?!
Unaepata wasiwasi ni wew Sijawahi kuwa na wasiwasi na wala sina kamusi ya Hofu kichwani mwangu...
Umeulizwa swwali jepesi umeshindwa Vijana bhana!
 
Wameona tukiishi Kwa amani hawajiskii Raha, baada ya kuona issue ya Bei ya mafuta tumeizoea wamekuja na kitisho kingine
 
Mvua ni kubwa kwenye nchi mojawapo inamwagika na upepo mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…