Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

ndio maana huwa nawashangaa wanzanzibar kutuona wabara chogo,, uwepo wenu hapa bongo tunawasaidia tu, ndio maana tunawapa na ardhi na mnaishi hata kama sisi kule kwenu ni vyogo. kisiwa chenu kila siku huwa kinapungua, itafika mahali mtakuwa samaki na ninyi, wengine watabadilika kuwa nyangumi wengine papa wengine changu wengine kibua kwasababu miaka ya mbeleni kitamezwa na maji. mtakimbilia wapi kama sio bara? kuna kakisiwa fulani bahari ya hidi hapo kamepukutika karibia kanaisha. haya na hizo volcano, zikilipuka, mtakimbilia wapi? mnataka muishi kwenye mashua? mshukuruni Mungu mpo kwenye muungano na mtuheshimu acheni zarau.
Hivi haviusiani sana na Habari ya tahadhari.

Nivyema kuepuka kuwadhihaki watu.
 
Mzazi umeua🤣
Hivi huko TMA mna uhakika kuna Mageologisti wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..

View attachment 2785593

Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)
 
ndio maana huwa nawashangaa wanzanzibar kutuona wabara chogo,, uwepo wenu hapa bongo tunawasaidia tu, ndio maana tunawapa na ardhi na mnaishi hata kama sisi kule kwenu ni vyogo. kisiwa chenu kila siku huwa kinapungua, itafika mahali mtakuwa samaki na ninyi, wengine watabadilika kuwa nyangumi wengine papa wengine changu wengine kibua kwasababu miaka ya mbeleni kitamezwa na maji. mtakimbilia wapi kama sio bara? kuna kakisiwa fulani bahari ya hidi hapo kamepukutika karibia kanaisha. haya na hizo volcano, zikilipuka, mtakimbilia wapi? mnataka muishi kwenye mashua? mshukuruni Mungu mpo kwenye muungano na mtuheshimu acheni zarau.
Waache zarau waso na vyogo 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom