Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

Ofice Hiyo Hiyo ya waziri mkuu imekanusha kutoa taarifa ya kuwepo kwa tsunami kupitia waziri Jenista Mhagama
 
ndo nashuka boti saiv hapa natoka znz kuingia dar hakuna tsunami wala nyangumi mamlaka ya hali ya hewa msitutie presha kwa uongo wenu
 
na siku Zanzibar wahihamishwa Bara kukimbia maafa ya bado watatengewa eneo la pori tengefu kuendesha Zanzibar ndani ya Tanganyika ili "ku maintain identity ya Zanzibar isije kumezwa." Katika kuzienzi akili mbovu za Muungano wa Nyerere.
subutu. usifikiri kila siku rais atakuwa samia. ndoto ya mchana hiyo. kwanza hata issue ya mtu wa zanzibar kuwa raia wa bara tu ipo kikaangoni, muda si mrefu itabuma.
 
Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.

Mbona hawaweki ramani kuonesha kitovu tarajiwa kiko nchi gani na muda kamili, pia haihusishi majeshi yote na kuhamisha wagonjwa kwenye hospitali zilizo kando ya bahari.
 
Hata sielewi ni mazoezi au kweli, hapa nilipo ni baharini na saa 10 jioni kumetuliaa
 
Mbona hawaweki ramani kuonesha kitovu tarajiwa kiko nchi gani na muda kamili, pia haihusishi majeshi yote na kuhamisha wagonjwa kwenye hospitali zilizo kando ya bahari.
Nadhani zile habari ni za maigizo tu au watu wapo kwenye drill (mazoezi).
 
Hi TMA haina tofauti na waganga wa ramli chonganishi.
 
Nadhani ni vizuri watupe darasa kwa uchache kwamba, tahadhari ipi tuchukue, je tuondoke mikoa ya Pwani kwa kipindi fulani au tahadhari ipi tuchukue maana Tsunami mziki wake hatari.
Ulikataa kumwamini Nabii Boniface wa UNYAKUO TV, vip na Tma sunami mixer volcano huamini?
 
Afadhali wale wenye mijengo yao ostarbay, mbezi beach, masaki, kigamboni , na posta wapate hasara kila kitu kianze upya
 
Back
Top Bottom